Recent content by omiath

  1. O

    Ni ugonjwa gani huu?

    Kuku wana mifuko ya hewa tumboni inayojulikana kwa jina la air sacs. Mifuko hii ni sehemu ya mfumo wa hewa wa kuku. Inapotokea mifuko hii ya hewa kushambuliwa na vimelea vya magonjwa hasa bacteria ain ya E.coli, hupoteza uwezo wake wa kutunza hewa na hivyo hewa huishia kwenye ngozi. Cha kufanya...
  2. O

    Mwanahabari Salma Said akutana na wanahabari, aeleza kilichotokea

    Kilichoelezwa hapa ni sababu za yeye kutekwa, mimi binafsi sijaona kilichotokea baada ya yeye kutekwa
  3. O

    Makosa ya barabarani

    Traffic akikukamata anatakiwa akuandikie notification ambayo unatakiwa ukalipe ndani ya siku saba na upewe stakabadhi. Wengi wetu tunalipa papo hapo na bila ya kupewa stakabadhi na badala yake tunapewa notification tu, kitu ambacho si sahihi. Kwa hiyo mahakamani hupelekwi immediate ilaa ni baada...
  4. O

    Zitto akirudi bungeni Oktoba, nitatembea kutoka Kibaha hadi Posta

    Namkumbusha huyu mdau atimize ahadi yake, maana inaonekana Zitto atarudi bungeni
  5. O

    Waislam tumefeli kwenye hili tu, tubadilike

    Alama za mnafiki ni tatu, na zote unazo!
  6. O

    Kisukari kimenitenda, sasa uume wangu ndembendembe

    Pole sana mkuu, mbegu za mlonge huweza kushusha sukari kwa kiasi kikubwa. Tafuna mbegu moja kila siku huku ukiendelea kupima sukari mara kwa mara mpaka itakapokuwa normal na hapo ndipo utakapoacha kutafuna. Mungu akuponye
  7. O

    Napata simple and weak erection

    Mbegu hizi zinashusha sukari awe makini wakati wa kutumia!
  8. O

    Nini tafsiri ya kiburi cha hawa vigogo wa ESCROW

    Inasikitisha kwa kweli, hali ni mbaya kuliko tunavyodhani!
  9. O

    Utafiti: Dhana ya Mfumo Kristu Tanzania na ukweli wake!

    Ni kweli kabisa! Hii thread ilishajadiliwa sana, nashangaa kuiona tena kama ilivyo bila mabadiliko
  10. O

    Askofu Nzigilwa: Rugemalira alitoa fedha za matoleo

    If that is the case hata wengine waliowekewa fedha kwenye accounts zao makosa yao yako wapi? Ufisadi kwenye nchi hii uko mpaka kwenye vichwa vya watu wanaoibiwa, tusiwe na double standard katika kutuhumu. Mwizi ni mwizi tu, hakuna kumung'unya maneno hapa.
  11. O

    Utabiri: Rais ajaye atakuwa kijana, jina mchanganyiko kiislamu na kikristo au ameoa dini nyingine

    Hata ile ya TB Joshua nayo ni sheeeeda, kwa maana tabiri zao juu ya vifo zina mashaka.
Back
Top Bottom