Recent content by omganya

  1. O

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    No reform no Election Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
  2. O

    JamiiForums Tanzania Wanasheria naomba mtuelimishe kwa hili la Boniface Mwangi

    No vyepesi tu, ataenda mahakama za Kenya kuishitaki tazania kwa hiyo mistreatments na akishinda kesi mahakama itailazimisha serikari ya tz kutekeleza hukumu, ikishindikana mahakama ya Kenya itailazomisha serikari kushikilia Mali za tz. Kwa hii kesi ni mtaji kwa huyu mwamba ukizingatia Uhuru wa...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ntozi na "Big Agenda"Unastahili kipindi na Samia!

    Ki ukweli Salim kikeke anaonesha uwezo mdogo sana wa kuuliza maswali. Ni Kama huwa Hana maandalizi. Huwezi ona amenukuu sheria, hotuba au mlolongo furani wa mambo. Pia anauliza maswali ambayo ni mepesi sana. Kingine anashindwa kuongoza mhojiwa wake. Hii hupelekea mhojiwa kujibu kadri atakavyo...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Askari Polisi akawa Mwandishi wa Gazeti la Uhuru?

    Natamani kamanda Siro ajibu swali hili. Na asipo lijibu itakuwa ni fedheha sana kwa jeshi la police. Pia aambatanishe na sheria make hii ni kinyume na civil servant act na regulations zake
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tafadhali tukodoe jicho zaidi kwenye pesa za ujenzi wa madarasa

    Ahsante mkuu, lakini ugoro ni wa maana sana. Tibaijuka amesoma kupitia hii kitu.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Tafadhali tukodoe jicho zaidi kwenye pesa za ujenzi wa madarasa

    Habari ndugu? Kama sote tujuavyo kuwa kuna fedha zimetolewa kwaajili ya kuboresha uchumi kutokana na athari za Corona. Kwa hili nampongeza sana SSH kwa kuzielekeza kwenye sekta ya elimu. Hii ni kutokana na shule zetu nyingi kuwa katika hari mbaya Sana. Lakini pamoja na pongezi hizo kuna mambo...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wakati wa Utawala wa Magufuli umeme haukuwa wa tabu kama awamu ya Samia?!

    Yaaaniii wewe ni [emoji232] kabisa. Ficha hata kidogo ushabiki maandazi wako
  8. O

    JamiiForums Tanzania Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

    Hii kitu ni nzuri
  9. O

    JamiiForums Tanzania Dotto Bulendu: Tathmini yangu juu ya mahojiano kati ya BBC na Rais Samia Suluhu

    Salimu kikeke ana uwezo mdogo sana. Hii ya kujificha nyuma ya mahojiano kufanyika ikulu haina maaana. Ikisikiliza vizuri utagundua mama alikuwa akijibu anavyotaka na hakukua na maswali fikirishi na yakuibua majibu lengwa. Ni makosa makubwa Sana mwanzo mwisho wa interview hakuna lejea. Nafikiri...
  10. O

    JamiiForums Tanzania KIWANJA KINAUZWA BUSWELU,MWANZA

    Je ni changapi kutoka kwenye lami? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. O

    JamiiForums Tanzania Maoni ya mdau kutokana na hotuba ya Rais Magufuli juu ya Corona

    Habari ndugu? Jana Rais wetu mpendwa ameongea na watanzania kupitia vyombo vya habari. Ni wazi watu wengi tulisubiri hotuba ya mkuu wa nchi baada ya malalamiko na maneno mengi ya kumtaka afanye hivyo. Hii ilikuwa ni the waiting speech. Ni dhahili tulitegemea hotuba hii ituelekeze nini tufanye...
  12. O

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Hisense tv inch 43 version B6000 inauzwa

    VP ni smart ?? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kuepuka Double Standards ya Kodi, Nashauri Rais Uongezwe Mshahara, Ili Alipe Kodi, Wote Tulipe Kodi!

    Warahi hili Jamaa kwa sasa uwezo wa kufikiri na kuandika umehamia tumboni, kwani walimu wanaolipa kodi wanamishahara mikubwa?? Ngosha chapa ng'ombe weye, sema tu unafiki wa kutaka uteuzi unakuhangaisha Sent using Jamii Forums mobile app
  14. O

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state

    Huyu Jamaa kweli upo bize sana na kusaka cheo kutoka kwa ngosha mwenzeko. Sovereign state wakati mnaua na kuteka watu kila wakati. Ama kweli mtoto mpumbavu ni mzigo kwa *****. Kumbuka kuna kwenye uharifu wa ubinadam sharia za kimataifa hazifungwi na state sovereignty. Sent using Jamii Forums...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri wa Marekani (T.Nagy) asikitishwa na hukumu ya kina Mbowe, asema Serikali ya Tanzania ni wanafiki

    Sidhani kama unajua maana ya sovereignty state. Rejea madesa yako ya chuo. Sovereignty wakati mnaua, mnateka na kufunga watu kisa kukosolewa?? Upuuzi wako huu kuna siku utasema kwa sababu wewe ni mtu huru, hivyo una haki ya kujiua Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom