Recent content by omboklo

  1. omboklo

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Wanawake huanza enjoy Mapenzi kuanzia kwa Mwanaume wa Tatu na kuendelea

    Hii tafiti umetumia pesa za ndani ama za mabeberu?
  2. omboklo

    JamiiForums Tanzania Mahakamani Kisutu: Yusuph Ismail ahukumiwa jela miaka miwili kwa kosa la kumuua mkewe bila kukusudia

    Hakimu anaitwa Huruma yaezekana jina limefanya kazi yake.
  3. omboklo

    JamiiForums Tanzania Mkasa gani wa kutapeliwa ukiukumbuka unaishia kujicheka na kujiona mjinga?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama nakuona vile
  4. omboklo

    JamiiForums Tanzania Mkasa gani wa kutapeliwa ukiukumbuka unaishia kujicheka na kujiona mjinga?

    Aseeee wale jamaa wa kariakoo ni hatari tupu
  5. omboklo

    JamiiForums Tanzania Mkasa gani wa kutapeliwa ukiukumbuka unaishia kujicheka na kujiona mjinga?

    Karibu ushee uzoefu wako pia
  6. omboklo

    JamiiForums Tanzania Mkasa gani wa kutapeliwa ukiukumbuka unaishia kujicheka na kujiona mjinga?

    Kuna watu kama sio kusomea saikolojia sijui ni nini mana anakuchota nawe unaamini kabsa yani.
  7. omboklo

    JamiiForums Tanzania Mkasa gani wa kutapeliwa ukiukumbuka unaishia kujicheka na kujiona mjinga?

    Hakuni pm sasa username yake siijui.
  8. omboklo

    JamiiForums Tanzania Mkasa gani wa kutapeliwa ukiukumbuka unaishia kujicheka na kujiona mjinga?

    Miaka ya 2010 ndipo nimetoka kijijini huko nimeingia jiji la dar es salaam na ushamba wangu bwana si niko posta mpya pale, nashangaa jamaa mmoja ananisimamisha anajitambulisha kuwa yeye ni askari ananiuliza je nimeangalia taarifa ya habari jana usiku, nilimjibu kua sikuangalia akatokea na jamaa...
  9. omboklo

    JamiiForums Tanzania Je, ulikuwa wapi ulipokuwa na kitabu hiki?

    Hiki kitabu nikikisaka vizuri kama hakijaliwa na panya naweza kukipata
  10. omboklo

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yatoa ratiba ya mwisho: Lissu atafungia Dar, Magufuli Dodoma

    Hako ka clip nimeamua kukafanya ringtone ya simu yangu
  11. omboklo

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya Wizara barabara ya Rusahunga Rusumo hayakutekelezwa

    Hii barabara kwakwel ni shida ukizingatia ni kiunganishi na nchi za burundi na rwanda nilitarajia serikali ingeliangalia kwa upana wake zaidi. Nahisi ndio maana jamaa hakuenda ngara kukampeni sababu kubwa hii barabara
  12. omboklo

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Mawakala wataapishwa siku saba kabla ya uchaguzi

    Wakiletewa pesa wale alafu siku ya uchaguzi wabane
Back
Top Bottom