Recent content by Ombeni Mbise

  1. O

    JamiiForums Tanzania Kwa hili lazima Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) mdharauliwe milele

    Acheni ung'ombe ninyi! mimi nimehitimu Udom 2011 na tayari nina kampuni yangu ya Bussiness Consulitancy. Kma tuna uwezo duni iweje nmimi nikafungua kampuni kubwa hivi hapa jijini Arusha? alafu ujue kwamba Lowassa ana mashabiki nchi nzima. iweje unawalaumu wanafunzi wa udom tu. je hawana haki ya...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Bank ya CRDB Part II

    CRDB hawafai kabisa mie nimetoka kabisa. Nimefunga akaunti yangu hivi majuzi japo walinibembeleza sana kwa nini unachota hela na kufunga akaunti nikawadanganya naenda kusoma Masters Norway. Walikoamaa kwamba hata huko nje naweza tumia huduma zao kwa kutumia viza yangu nikawaambia NO. Naenda...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbilinyi (Sugu) alipuka bungeni

    Mwigulu amshike nani pabaya mpumbavu huyo
  4. O

    JamiiForums Tanzania TRA vs TANAPA vs NSSF

    Fuata Kamusi yako tafuta maana ya JANGA utaelewa kuwa mimi si janga JANGA ni wanaoropoka bila facts hapa Jf
  5. O

    JamiiForums Tanzania Zidumu Fikra Sahihi za Mwenyekiti wa Chama

    Huwa najiuliza kila kukicha hawa jamaa wa CCM kusema ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WALIMANISHA NINI? Ukijaribu kuangalia Dunia yote ya Democrasia huwezi kuta eti watu wanakumbatia mawazo ya mtu mmoja na kuminya ya wengine eti zidumu fikra za mwenyekiti... Huu ni kunyima mawazo ya wengine na aina...
  6. O

    JamiiForums Tanzania TRA vs TANAPA vs NSSF

  7. O

    JamiiForums Tanzania TRA vs TANAPA vs NSSF

    NSSF inafunika TRA NA TANAPA. NI BALAA NSSF TAKE HOME 3,000,000. BADO POSHO ZA KUFA KIUMBE
  8. O

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi tanzania international university (tiu)

    chuo kipo live ingia gogo angalia tcu utakiona kipo live kina exist na kutambulika sema tu labda kuna tatizo katika utoaji kazi wao ndo mana wadau wanalalamika
  9. O

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi: Maafisa mikopo

    Du si utapeli kweli huu? chakarika sijaiona kwenye gogo
  10. O

    JamiiForums Tanzania Watu wanapata kazi na sio kazi kupata watu

    Wadau kuna mdau amesema katika kipindi cha TUONGEE ASUBUHI Star Tv kuwa kazi hazipati watu ila watu wanapata kazi ndo maana kuwa low performance. Imekaaje hii mbona sielewi flani
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya mheshimiwa mbunge wa arusha mjini baada ya kurudishiwa ubunge wake rasmi na mahakama .

    Tuko pamoja wadau kila la kheri kumpokea shujaa hapo KIA na kumleta jijini Arushaaaaaaa!
  12. O

    JamiiForums Tanzania kazi kwa form 4 leaver inapatikana??

    kama upo apa Arusha tafuta kazi za kwenda porini na watalii au kama una nguvu kiasi panda mlima meru itaweza kwa kuanzia ila kilimanjaro usijaribu
  13. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ikishinda vita ya propaganda itachukua nchi 2015

    Nikiwa kama mwanachadema hai nimeanza kupata wasiwasi juu ya sisi CHADEMA kuingia Ikulu 2015. Mimi ninafikiri mbali na jitihada kubwa za ukombozi na vuguvugu la mabadiliko MOVEMENT FOR CHANGE M4C ni lazima tutambue mbinu CHAFU na DHAIFU wanazotumia MAGAMBA kusambaratisha UMOJA WETU na jitihada...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Huna jipya Nauye unashindwa kuwashauri wenzako walioko serikali akiwepo AMIRI JESHI kuwashtaki wezi waliohujumu Taifa unakaa kukagua nani ana kadi ya CCM AU CDM..... Thread yako umenichefua sana wewe uko after malumbano ya vyama... kwani si bora kumiliki hata kadi tatu za vyama tofauti kuliko...
Back
Top Bottom