Recent content by Omati

  1. O

    JamiiForums Tanzania Huyu Kasiga ni dada yake Rahma Kharoos Kasiga wa Jakaya?

    Kweli tutafute fursa
  2. O

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mhariri mwandamizi wa New Habari Corporation, Innocent Munyuku afariki dunia

    Kila nafsi itaonja mauti...pumzika kwa amani kamanda.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Hii ya Juma Pinto Inatisha

    Sasa mlikuwa mnataka nn...mkishajua hivyo...kwann tusijadili vitu vya msingi kama Iptl..gas..badala ya kujadili watu.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kamanda Kova kamata hawa mafia

    Hakuna mafia hapo...una lako jambo mkuu...vipi Wachina ambao wanatishia kuwaondoa vijana wetu haoo kariakoo...umeona viza zao...hebu undani wa wewe na hao waitaliano wa suti..???
  5. O

    JamiiForums Tanzania Jenerali ulimwengu ni nani? Ni mwandishi wa habari nguli

    Watu wengine bwana
  6. O

    JamiiForums Tanzania Waziri Nyalandu umewakosea nini wamiliki wa gazeti Jamhuri?

    Msipooze maneno....Nyalandu ni janga la kitaifa
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kisutu yahairisha tena kesi ya Macha hadi Nov 18

    Sasa hii inahusu nn hapa jf...?
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ombwe la uongozi Idara ya Uhamiaji

    Uhamiaji bwana.....magumash kama Taifa stars.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake ni wahudhuriaji wazuri kanisani kuliko wanaume?

    Wanawake waacheni tu...na muishi nao kwa akili...maandiko yaliona zamani kuhusu wao...tuwaheshimu pale wanapotuheshimu bila kutuonyesha visa vyao..
  10. O

    JamiiForums Tanzania Taharuki: Mduara wajitokeza angani kwenye Sayari ya Dunia

    Duh asiyejua maana kweli haambiwi...sasa cha ajabu nn hapo unachoona wewe wakati limezibwa na mawingu na kutoa huo mduara unao uone....leteni hoja za maana..
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake ni wahudhuriaji wazuri kanisani kuliko wanaume?

    Wanawake wanavisa vikubwa vya kumuudhi Muumba...na ndio maana maandiko yakasema na muishi nao kwa akili..
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake ni wahudhuriaji wazuri kanisani kuliko wanaume?

    Kwa uelewe kuwa wanawake wanadhambi nyingi kuliko sisi wanaume..
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kumbe trafic wanafanya vituko vingi barabarani

    Hii inaruhusiwa kutoa uchovu na kuonyesha ukakamavu wao...so nice
  14. O

    JamiiForums Tanzania RASMI: Sitti Mtemvu sasa kuvuliwa taji la Miss Tanzania 2014

    Huu ni wivu tu wa wabongo...mbona hampambani na mafisad kama mnavyofanya kwa binti huyu
  15. O

    JamiiForums Tanzania RPC-Arusha unalijua hili?

    Mbona husemi huyo mtu anaitwa nan
Back
Top Bottom