Huyu Kasiga ni dada yake Rahma Kharoos Kasiga wa Jakaya? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Huyu Kasiga ni dada yake Rahma Kharoos Kasiga wa Jakaya?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mpayukaji, Dec 7, 2011.

 1. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #1
  Dec 7, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Huyo mama anayemhoji makamu wa pili wa rais wa Zanzibar Seif Ali Idd anaitwa Mindi Kasiga ni afisa habari wizara ya mambo ya nchi za nje. Kwa vile kumekuwa na harufu ya kujuana karibu katika kila ulaji, wanaomjua watupe news kama ni dada yake bi mkubwa nyumba ndogo ya bosi tujue. Maana bosi mwenyewe alitokea huko wizara ya mambo ya nje. Nawakilisha.

  [​IMG]

  Hapo chini ni Rahma Kharoos Kasiga ambaye alikuwa nesi huko Arabuni lakini baada ya Kikwete kuingia madarakani akaibuka kama rais wa GBP Oil kampuni tata ambayo hatujui ni ya nani na huyu mama nesi kazinyaka wapi kuwa na biashara yenye jeuri kama hii. Au ni yale yale ya EPA?


  [​IMG]
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Dec 7, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,586
  Likes Received: 82,137
  Trophy Points: 280
  Huyo ana uhusiano wa karibu na Mama Mkapa, na alikuwepo Ikulu tangu awamu ya Mkapa na kama sikosei mwanzoni mwa awamu ya Kikwete.
   
 3. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #3
  Dec 7, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio kwamba huyo nesi wa kutoka uarabuni aligawa TIGO

  yake vyema huko atokako ndio matunda ya hiyo GBP au?
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Dec 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  Kitu kama hicho.
   
 5. KING COBRA

  KING COBRA JF-Expert Member

  #5
  Dec 17, 2014
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,783
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Fuatlieni suala hili
   
 6. Red Giant

  Red Giant JF-Expert Member

  #6
  Dec 18, 2014
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 9,494
  Likes Received: 5,971
  Trophy Points: 280
  huyo seif idd amekaa kwa kujikweza hadi kawa kama kilema.
   
 7. m

  mzee wa manzese JF-Expert Member

  #7
  Dec 18, 2014
  Joined: Oct 31, 2012
  Messages: 632
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Umbea majungu tunaviweza watz,tafuta fursa na wewe unasubiri uletewe
   
 8. o

  omar moyo Member

  #8
  Dec 18, 2014
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 61
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kweli tutafute fursa
   
 9. mzaramo

  mzaramo JF-Expert Member

  #9
  Dec 18, 2014
  Joined: Sep 4, 2006
  Messages: 6,272
  Likes Received: 4,271
  Trophy Points: 280
  acha roho ya ubinafsi hata wewe tukikupa nafasi utajaza ndugu na jamaa zako
   
 10. m

  mzee wa manzese JF-Expert Member

  #10
  Dec 18, 2014
  Joined: Oct 31, 2012
  Messages: 632
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kama hujapata nafasi kelele za nini
   
 11. m

  mzee wa manzese JF-Expert Member

  #11
  Dec 18, 2014
  Joined: Oct 31, 2012
  Messages: 632
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Ngemse kweli wewe
   
 12. Uso wa nyoka

  Uso wa nyoka JF-Expert Member

  #12
  Dec 18, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 4,812
  Likes Received: 1,465
  Trophy Points: 280
  Nachukia sana kauli za kipuuzi kama hizi, unamdhalilisha Mwanamke kwa faida gani? Unajisikiaje unapopost kauli za kiprimitive kama hizi? Kwanini usizungumze tu bila matusi?
   
 13. Uso wa nyoka

  Uso wa nyoka JF-Expert Member

  #13
  Dec 18, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 4,812
  Likes Received: 1,465
  Trophy Points: 280
  Tatizo Watanzania fulani wameweka mbele chuki za kiajabuajabu. Mafanikio yanatafutwa, sio kukaa na kutengeneza majungu yasiyomsaidia anaeyaunda. Fursa ziko nyingi, juhudi yako na mtazamo wa kimaendeleo ndivyo vitakusaidia badala ya kukaa unafuga chuki.
   
 14. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #14
  Dec 18, 2014
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,225
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Harafu!!!??
   
 15. k

  kitomondo1 Member

  #15
  Dec 18, 2014
  Joined: Oct 2, 2014
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwan jaman gbp si ya warabu wako watatu mmoja ni badar seif rashid seif na khalid seif ndo mkubwa wao au wao si yao
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Dec 18, 2014
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kama kufanikiwa kimaisha kwaweza kupatikana kiuwepesi kwa kugawa 0713 kiasi hicho , kuna sababu ipi nawe usigawe yako? Tena uigawe kwa hasira ili utajirike fasta ?
   
 17. Nanaa

  Nanaa JF-Expert Member

  #17
  Dec 18, 2014
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 5,909
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Tena za kiume zina sokooo....
   
 18. m

  mzee wa manzese JF-Expert Member

  #18
  Dec 18, 2014
  Joined: Oct 31, 2012
  Messages: 632
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Za kiume hata Mimi nitanunua ili nae atajirike
   
 19. Nanaa

  Nanaa JF-Expert Member

  #19
  Dec 18, 2014
  Joined: Dec 26, 2012
  Messages: 5,909
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hahahaaa...tatizo jamaa anataka kushindana na mwanamke....Kuzaliwa mwanamke ni fursa tosha. Na wanawake wengi hawaishi maisha ya level yao halisi waliyosomea au wanayofanyia Kazi...
  Mfano je Mama Salma Kikwete anaishi level moja na wanaume ambao ana level nao moja ya elimu au professional....

  So tuwacheni tunazaa kwa uchungu.....na nyie tafuteni kwa jasho...
   
 20. n

  nzelee Member

  #20
  Dec 18, 2014
  Joined: Dec 17, 2014
  Messages: 9
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa nini tusiwe wastaraab. ...kwani Kuna haja gani ya kufatilia mambo ya watu? Mbona hoja zipo nyingi jamani? Wabongo tujitambue basi....
   
Loading...