Recent content by Omary_12

  1. Omary_12

    KANUSHO: Dr. Mwele Malecela hajateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa WHO Afrika

    Halafu anafanana na baba yake.....sura mduara huo...hongera yake lkn kwa misimamo yake
  2. Omary_12

    Saudh Arabia Yatakiwa Kulipa Gharama za Vita Syria- Rais Donald Trump

    Wataongea sana ila wametambua uwezo mkubwa wa kijeshi walonao warussi wameufyata mkia wanakimbia...
  3. Omary_12

    China na Urusi zaungana kuikabili Marekani

    Vinaweza kushinda lkn, ushindi ni target tu....mbwa mwitu wanamla simba watakavyo tu kwann jiulize...mwisho wa marekani kuwa kinara duniani kijeshi unaanza taratiiibu...
  4. Omary_12

    China na Urusi zaungana kuikabili Marekani

    Uwezo wako wakufikiri ni mdogo sana....
  5. Omary_12

    Rais Putin ataweza kuibadilisha mawazo Uturuki na kuiondoa ndani ya NATO?

    Ukishajiunga na Urussi muhimu kupendwa na wananchi wako tu hata miaka 20 unakaa madarakani maana utalindwa kwa nguvu zote dhidi ya vibaraka wa marekani...
  6. Omary_12

    'You're playing with fire,' Russia warns Britain at U.N. Security Council meeting

    Jiongeze wewe uchokoze ugomvi utegemee marafiki....[emoji15]
  7. Omary_12

    Rwanda na Burundi ziliikosea nini Tanzania?

    Kesho wakiisifia ccm majalada yanafungwa....hahaha[emoji3] [emoji3]
  8. Omary_12

    Rais Magufuli awataka Jeshi la Polisi, Mawaziri na watendaji wa Serikali wasijihusishe na ufyekaji bangi mashambani

    Makosa ni ya nani kwani serikali ya kijiji haina askari wake...?
  9. Omary_12

    Rwanda na Burundi ziliikosea nini Tanzania?

    Sababu hasa za kuwahoji.....?
  10. Omary_12

    Rais Magufuli kuzindua ukuta katika migodi ya Tanzanite Mirerani

    Kesho kutwa anazindua Ukuta mererani huko[emoji23] [emoji23]
  11. Omary_12

    Zindua zindua ya Rais Magufuli; hivi hanaga kazi zingine za kufanya?

    Kwani nchi imepinda mkuu[emoji15]
  12. Omary_12

    Rais ajae atakuja kubadili uendeshaji wa ATCL ila kwa sasa litabebwa kwa nguvu zote

    Marekani, uingereza ufaransa...hata Italy serikali haina ndege hata moja unafikiri wao ni vichaa....ndege zote ni za watu binafsi hapo wanatumia nembo ya taifa,serkali faida yao kubwa ni kodi tu basi...
  13. Omary_12

    Spika Job Ndugai arejea nyumbani toka kwenye matibabu India

    Hivi anaumwaga nn huyu muheshimiwa....
  14. Omary_12

    Rais Magufuli kuzindua ukuta katika migodi ya Tanzanite Mirerani

    Move bado linaendelea....loading
Back
Top Bottom