Recent content by omary01

  1. O

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kutengeneza game

    Karibu katika ulimwengu wa V_Game Kwani Hakuna Fani rahisi Duniani kama Kosi Ya Game Developer Kitu Kigumu ktk fani hii ni Game Dsn tu. Kama unahitaji Kujifunza Basi Jifunze Huku Ukiamini Utafanikiwa kwani Kunawatu Watakukatisha tamaa kama huyu Jamaa Chief-Mkwawa. Fani nii inaweza kukubadirishia...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    follow me on Facebook Page UJ Game Studio so that we want to know game maker
  3. O

    JamiiForums Tanzania game development

    unacho kitafuta hiki apa bofya hapa
  4. O

    JamiiForums Tanzania game development

    ndi ndio ninamaana hiyo kwani ndio ninayo itumia
  5. O

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    kwawale wanao itaji kujifunza lugha ya Computer upande wa game developer kaa mkao wa kula hivi karibuni nitaanza ku toa fanii hio bure.
  6. O

    JamiiForums Tanzania game development

    unajuwa ndugu yangu blender ni software kwa ajili ya kumodel na ku-Animation object tu sasa ukisha maliza ku model object yako kinacho takiwa ni kuiingiza katika Engine yako mfano kama unatumia Unity3D hapo ndipo utaitajika kuiCode object yako
  7. O

    JamiiForums Tanzania game development

    sijakuelewa una maana gani labda nikuulize swali kwani unatumia program gani
  8. O

    JamiiForums Tanzania game development

    bofya hapa kama unataka kujuwa Unity3D
  9. O

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    poa wazo zuri. siunajua siku hizi makampuni yetu na maana ya voda, Tigo wananunua Game na nimesha wauzia SmartTuition.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    Hivi punde nita upload game nyingi sio hilo tu kwani Game ambazo zilizo kuwa tayari ni nyingi na nina subiria zifike Game hamsini ili nikiz-Publish nipate % fulani
  11. O

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    nipo hapa kukujibu swali lolote kuhusiana na fani hii ya game maker
  12. O

    JamiiForums Tanzania Niulize jinsi ya kutengeneza game

    unatakiwa ujuwe c# na jav kwani nirahisi sana bofya hapa ili ujifunze kwanza Program Skill kwani huwezi kutengeneza game au kitu chochote kama huijui program husika
  13. O

    JamiiForums Tanzania Jifunze jinsi ya kutengeneza game katika computer yako

    Habari WANA JAMIIFORUMS leo nimeamua kukuletea somo ambalo ungelipia katika FORUMS nyingine na somo hilo ni Jinsi ya kutengeneza video game katika Computer yako. Kabla ya kuendelea ningependa kutegua kitendawili ambacho wengi hamna majibu na ukimuuliza IT ambae yuko karibu na wewe. Na IT huyo...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mwalimu mzuri wa computer languages

    kama unahitaji kujifunza c# za kutengeneza game njoo chuoni kwetu mlimani au tuwasiliane msafiryo01@gmail.com
Back
Top Bottom