game development

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,240
1,794
Naomba niulize najua humu kuna developer wengi WA games Mimi Ni mpenzi WA unity ILA sijui c# najua c&c++ pamoja na OpenGL library naitaji kufanya modeling za game assets najiweza kwenye blender na maxon c4d r16 je naweza kuziimport hizi assets na nikatumia c&c++ badala ya c# kwenye unity game engine au kuna engine ya game za 3d inayotumia c&c++ je nikijaribu unreal game. Engine inawezekana?
Mama vipi ningependa msaada kutoka kwenu wapendwa kiukweli graphic programming. Ya c&c++ na OpenGL siko vibaya
 
C# ni evolution ya C na C++ family of languages, it borrows features from them lakini kwenye Unity Engine kuna utofauti kati yao, moja ni game engine builder (C++) na nyingine ni scripting language ya Unity(C#).
Unity Engine itself ipo developed by C++ lakini kwenye ku-build games inatumia C#, UnityScript(Modified Javascript), na Boo.

Unity ime choose C# kama primary scripting language. Reasons behind ya ku-choose C# instead of C/C++ although Unity ipo developed by it zipo nyingi mfano:

- Unaweza ku-access Unity API na C# lakini hauwezi kwa kutumia C++, therefore making it impossible to use as the primary language.
- C# ni easy ku learn kwa beginners compared to C++
- Unity ime focus kwa Indie developers, therefore C# ni right choice for them sababu ina build games fast.
- Flexibility
- Unity is .NET which does not support C++ etc.

So tukirudi kwenye swali lako
Kuna majibu mawili:- Ndio unaweza na Hapana hauwezi.

Unaweza in certain specialized cases, such as for creating plugins, but not for scripting.
Kumbuka scripting language (C#) ndio inatengeneza game.

C++ ni game builder, unaweza kuitumia kama unataka ku extend part of engine au ku-create plugins zako ili utumie kwenye Unity, lakini sio kuitumia kama primary language kudevelop

Kuna engines nyingi zpo zinatumia C++ kama primary language kudevelop games. Unreal Engine, CryEngine etc. but zipo complex kidogo compared to Unity Engine ambayo unaweza ku-jump start na ku-develop games fast.

Ushauri:
Kama focus yako ni ku-develop game, dont try to avoid programming language. You want to learn to be a game programmer. Period
If you seem to like Unity Engine then option nikujifunza C#. To learn the tool you need to get that skill.

Good luck!
 
Hiyo programming unayosema uko vizuri nakushauri ujiangalie upya. Bado uko vibaya ndiyo maana umekosa majibu ya maswali unayouliza.

Unauliza kama uache Unity usome Unreal Engine, sababu ni kua unataka tu C/C++. Kama uko serious na game development hiki hakikutakiwa kiwe kigezo kabisa. Unity unaweza fanya scripting kwa kutumia JavaScript. Game development hua inafanywa kwa kutumia Object Oriented Model, simply because ni rahisi kumodel real world objects. C++ unaweza tumia not C, ila ni ngumu kutumia unreal with C++ mara nyingi unatumia blueprints kudeal na game logic zote, mara chache only when you want to dive deep and change a part of the engine ndipo mtu anatumia C++.

Kwanza jiulize, are you serious about game development! Kama jibu ni ndiyo then mambo ya language inabidi yakae pembeni kwanza, engines zina mambo kibao unaweza usiguse code kabisa, kama ni Unity then achana na C# soma JavaScript its much easier, kama unataka Unreal then kaa uanze kuisoma wacha kulalamika.
 
Nimekupata mkuu ila Nina kaswali kengine je hiyo library ya graphics yaani OpenGL ukiitumia yenyewe kama yenyewe uwezi kutengeneza game na ukalipublish maana muda mwingi natumia code block lakini hakuna option ya kulifanya game liwe la platform /OS yoyote kama Android na IOS
 
sijakuelewa una maana gani labda nikuulize swali kwani unatumia program gani
 
Ha

Hapana mkuu kuna vitu real nilikuwa nafanya kwa mfano hata ile blender 3d software. Ni game engine ILA hizo script ndo zilini angusha japo kumodel,kutexture,rigging na animation niko fresh mimi nilichokuwa nataka kwa sababu nimekuwa nikitumia c++ na OpenGL saa Nyingine najaribu sfml kumodel na kufanya texture na animation maana hats kweye hizi library zina event mbalimbali kama vile keyboard,mouse events kwa hiyo unaweza kuzicheza pale ILA ngoja nizamie c#na Java script maana hii Ni dhamira Yangu.
 
unajuwa ndugu yangu blender ni software kwa ajili ya kumodel na ku-Animation object tu sasa ukisha maliza ku model object yako kinacho takiwa ni kuiingiza katika Engine yako mfano kama unatumia Unity3D hapo ndipo utaitajika kuiCode object yako
 
Na
sijakuelewa una maana gani labda nikuulize swali kwani unatumia program gani
Namaanisha kwamba mimi ninachapa graphics programming kwa kutumia c++na OpenGL library kwenye code block IDE na saa Nyingine najaribu kutumia visual basic c++ sasa hii library Ina vitu vinavyoitajika kubuild games mfano sound na system yaani katika kutengeza game ninaitaji kuweka sound kwa Kila action muhimu na system. Kama logic/event ILA sasa nikikamilisha ile game nataka niicheze kwenye kifaa tofauti na laptop computer nataka niicheze kwenye smartphone sasa hakuna option kwenye hizo IDE za kuinatall kwa debugging kwa USB. Cable umenielewa? Kama umenielewa ndio nilichokuwa na uliza kwanini siwezi publish hiyo game kuwa ya platform /OS. Yoyote au hiyo unity3d Ina option hizo
 
ndi

ndio ninamaana hiyo kwani ndio ninayo itumia
 
Nimekupata mkuu ila Nina kaswali kengine je hiyo library ya graphics yaani OpenGL ukiitumia yenyewe kama yenyewe uwezi kutengeneza game na ukalipublish maana muda mwingi natumia code block lakini hakuna option ya kulifanya game liwe la platform /OS yoyote kama Android na IOS

Question yourself first kama unataka ku make games au ku-make the technology which drives games.
I assume unataka ku-make games, then I encourage you to use already made engines like Unity au Unreal kuliko ku-build one from scratch..I will tell you why.

Benefit za ku-use already made engine ni learning graph is not as steep compared to Opengl. Although sijui how much knowledge you got, I dont think(In my opinion) kuwa you already master all fields of it..because it takes months sometimes years. If you are aiming at making and releasing a game, I would recommend you to go for Game Engine.

OpenGL is a graphics programming API. You have to make all the system yourself mfano libraries for:
-Your own impoters eg. .blend, .fbx, .psd etc.
-Your own shaders, lighting etc.
-Physics, Collisions etc.
-Audio System
-Networking
-AI (Artificial Intelligence) etc.

Some are not necessary depending on type of game you're making, but ni kama ku-build your own game engine, and believe me it is. It require complex architecture and large amount of time. Faida yake ni kuwa uta gain a lot of knowledge. Utajua behind the scenes of game development / game engines, backend of it and so forth. The price however it'll take much, much more time to make one.

Most people use OpenGL kupata knowledge, sio ku-make commercial games out of it. Unaweza kujaribu ku-make game with it, but you might end up losing motivation and not completing the game at all, especially if you are alone.

In case of ready made engines like Unity, they saves you a lot of time and helps you focus more on your game by
handling all the stuff for you...AI, Physics etc.

Umesema unataka ku-build ios/android games. Suggestion yangu ni utumie Unity au Unreal, they will save you a large amount of time. Anyways, its your choice..find one which is comfortable to you.

Happy Coding!:)
 
Kile nilichokuwa natafuta nimekipata naona ndani ya unify 3d kuna options za kuipublish game kuwa ya platform yoyote now let me begin my car racing game east African hill way
 
mkuu weka link tulitest hilo game. you know i wish nione mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom