Habari zenu wapendwa
Nimemakiza kidato cha sita mwaka 2016 nlipata daraja la 3.13 ambayo ni Biology E, Geography D na Chemistry D nahitaji nkasome diploma ya kilimo
Wapi naweza kupata chuo na je naweza nikapata ufadhili wa masomo?
Me naona sio mbaya msomi kufanya biashara moja na asiyesoma ila ubunifu wako ndio utakuweka tofauti na Hugo ambae hajasoma .Pia baada ya miaka kadhaa utakua wap na umebadilika kiac gani na kuboresha biashara yako na kuwa na tofauti hta mteja wako akija anajua kabsa hpa na pata huduma tofauti na...
habari zenu, nimemaliza form6 nahitaji kusoma diploma ya kilimo je naweza kupata ufadhili wa masomo yangu ya kilimo na chuo.marks zangu ni
GEOGRAPHY-D
CHEMISTRY-D
BIOLOGY-E
BAM-S
GENERAL STUDY-S
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.