Recent content by omary 3G

  1. omary 3G

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya SIMBA na YANGA katika round ya 1 ligi kuu

    Usiseme Simba na Yanga.Sema yanga ipoteze network,ndiyo iliyobakia kwani Simba tayari imeshapoteza network kitambo si unaona hata jina limebadilika wanaitwa baiskeli ya miti!.....
  2. omary 3G

    JamiiForums Tanzania maajabu ya tuzo za mwanaspoti

    Kwani Canavaro wa Italy alikuwa michezaji bora wa dunia 2006.Naye alikuwa mfungaji bora?ndiyo unashangaa kwa Niyonzima (Fabregas)?
  3. omary 3G

    JamiiForums Tanzania Kaseja atua yanga kwa milioni 40

    Walio Muacha kaseja walipepesa macho na kutikisa masikio
  4. omary 3G

    JamiiForums Tanzania Kaseja atua yanga kwa milioni 40

    Ujanja kupata
  5. omary 3G

    JamiiForums Tanzania Kaseja atua yanga kwa milioni 40

    Ukikiona cha NINI mwenzio atakipata LINI.Acha roho ziwaume
  6. omary 3G

    JamiiForums Tanzania Hayawi Hayawi, sasa yamekuwa.Hatimaye Yanga wamerudi ktk nafasi yao,Simba wadhi

    Ninajua upande wa pili roho zitawauma
  7. omary 3G

    JamiiForums Tanzania Viwanja vyenye majina ya kuvutia Duniani

    Mabwepande 2035-SIMBA SPORTS CLUB
  8. omary 3G

    JamiiForums Tanzania LIVE UPDATES:: Yanga V JKT Ruvu, UWANJA WA TAIFA.

    Leo nilikuwa ninacheza drafti na jamaa mmoja mshabiki wa Simba nikamtangulia kumfunga, baadaye akasawazisha ikawa 1-1 basi jamaa alishangilia sana furaha ilipitiliza mpaka akang'oa viti
  9. omary 3G

    JamiiForums Tanzania Live update: Simba SC va Azam FC

    Tambwe boya 2
  10. omary 3G

    JamiiForums Tanzania Wanaume na nywele za sehemu ya siri

    Mwambie mumeo kwanza
  11. omary 3G

    JamiiForums Tanzania Live updates mechi za leo vipi wazee wa jangwani na msimbazi.

    Kiiza huyo!!!!!!.....
Back
Top Bottom