Nina wasiwasi wakati wa kujiandikisha vitambulisho vya kura kwa bvr jamaa wa kupiga picha walikuwa wanapiga picha zaidi ya mara 2 kwa mtu mmoja wanajifanya wamekosea lakini cha kushangaza wanavitoa vitambulisho zaidi ya viwili au vitatu kwa mtu mmoja halafu unapewa kitambulisho chako vile...
Ukawa jipangeni shikamaneni inshaallah mungu yuko pamoja na nyinyi msikubali kugawanywa kwa namna yoyote ile wakati ndo huu mnawaona mafisadi wanavyovurugana hii ndo opportunity
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.