GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,773
Wakuu nina wasiwasi sana na hawa Mawakala ambao huwekwa na vyama vya
Upinzani kuwa wanaweza kutengewa kitita ili kuwanunua waweze kukubali
hujuma yoyote ya wizi wa kura ambayo inaweza kufanyika.
Hili nimeliona hata katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, Ni jambo gani linaweza
kufanyika ili kupambana na hali hii?
NAOMBA MCHANGO WENU WAKUU.