Recent content by omar seif ali

  1. O

    JamiiForums Tanzania Nani fundi zaidi hapa?

    Gaucho
  2. O

    JamiiForums Tanzania Sifa za wasio na elimu ya halali hasa wanapokuwa wanasiasa

    km mkuu fulani vile zenj nae ana kiromoromo kweli,huyo jamaa ni kada kwelikweli wa yanga elimu yk std 4,mkuu wa fitna Zanzibar jina lk linaanzia heruf V
  3. O

    JamiiForums Tanzania Hivi ili uwe RC unatakiwa kuwa na Elimu kiwango gani?

    Kadi ya CCM yatosha
  4. O

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Kweli hawi Omar atabaki kuwa makonda,grade doesn't determine intelligence,lkn aliesoma na asiesoma hawawi sawa yaani ni sawa kumlinganisha anaejua na asiejua hawafanani,kazi yk mh.makonda ni nzuri sn namuunga mkono lkn acmtizame MTU usoni atafanikiwa pia tunahitaji kujiridhisha na kiwango chk...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Machache kuhusu Nyerere

    hata ya hayasemwi pia,propaganda tuu kukidhi matakwa ya wanasiasa watawala
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni haya ya Wazanzibar, juu ya Sharif Hamad ni heri akastaafu siasa

    lukaza huna mpya ww ndo wale wale racists wa ccm
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni haya ya Wazanzibar, juu ya Sharif Hamad ni heri akastaafu siasa

    hayo ni maoni ya watu uliowateuwa ambao una hakika ni ccm wenzako hebu kusanya tn maoni kwa uhuru na uwazi utajua maalim ana nafac gn kwa wazanzibari, mm naona walochanganyikiwa ni wale ccm wasokwisha vikao hd usiku ck hz,
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mgogoro CUF: Jaji Mutungi amchambua Mtatiro na wenzake, anawatambua Prof. Lipumba na Seif

    msajili hukupaswa kusema hvy kwa sasa km unalo kaseme mahakamani,unajidhihirisha ww ni mgombanishi
  9. O

    JamiiForums Tanzania Unaweza kupuuza lakini ukweli ni kwamba sura ya Lowassa ni mtaji wa kura

    kweli anaebisha ni ccm
  10. O

    JamiiForums Tanzania Hatma ya mgogoro wa CUF itamalizwa kwa namna hii

    km ni kweli lipumba alijiuzulu kwa sababu ya lowasa kwnn yy ndie aliempokea na kumkaribisha ukawa na kumtolea maelezo kwamba UFISADI ni tatizo la kimfumo na sio mtu binafc na km kuna mtu anahic lowasa ni fisadi aende mahakamani,baadae kidogo akajiuzulu kwa madai ya lowasa,mm naamini lipumba...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: CCM just shoot in the dark

    fatma umenena maneno mazito,ukweli mtupu,just shoot in the darkness
  12. O

    JamiiForums Tanzania Hivi Maalim hamuonei aibu Lipumba?

    stroke tumia akili,cuf sio mali ya mtu binafc,ni taasiri,hvy km kuna mtu anatishia interests za taasisi hy ni lazima awajibishe kitaasisi,sasa maalim ht amuonee aibu chama c chake,maalim ni muungwana sn,ingelikuwa cuf ni mali ya maalim naamini wangemalizana kikubwa
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar asema Mafia, Lamu pia ni sehemu ya Zanzibar

    kisiwa hichi fungu mbarak hakika ni chetu znz lkn huku znz kazi yetu mikelele tuu,tukifikishwa kwenye sheria tunabadilika na kuwa ccm against cuf,waunguja against wapemba,wafrika against waarabu,au wanamapinduzi against wapinga mapinduzi,kwa style hii ya utawala tutapoteza hd visiwa vyote
  14. O

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba Kuandika Barua ya kujiuzulu na kuondoka ofisini alikuwa "in breach of contract"

    hili la lipumba halihitaji elimu wala sheria kuelewa km hana nia njema na cuf,mbona lipo wazi sn,tatizo letu ukweli tunapindisha kwa utashi tuu
Back
Top Bottom