Recent content by Omar ngallas

  1. Omar ngallas

    Hii ndiyo ndege yenye ubora zaidi na starehe za kutosha kuliko yoyote duniani

    Haya yakagame Kali uwez kulinganisha na vipanga boi
  2. Omar ngallas

    Burundi waipa msaada Tanzania

    Harafu bado mkiwa majukwaani mnasema Tanzania ni nchi tajili, kama hamna akili hv
  3. Omar ngallas

    Uhakiki wa wafanyakazi hewa kwa BVR: Waziri Angellah Kairuki tafadhali sana!

    Tunaweza kujikuta 2020 hiyo hakuna hata alie ajiliwa
  4. Omar ngallas

    Nilikuwa namkubali Mbowe na CHADEMA ila...

    Wewe ninani kwanza hats ucpo wakubal
  5. Omar ngallas

    UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

    Acha mawazo mgando na fikira za chini ya matako unawa nini wewe? Kuwa muelewa, sasa wewe nani anakujalibu? Au kuna MTU anakujua huko acha kujishauwa Mkuu. Sent from my TECNO J7 using JamiiForums mobile app
  6. Omar ngallas

    UN wamuhoji Waziri wa Mambo ya Nje juu ya suala la Zanzibar

    Wewe ndugu yangu usiseme kwa kufurahisha mdomo fikiria kwanza, wewe bila msaada utaishii vp wewe? Hata kama Tanzania nchi tajiri mataifa yakigoma kununua huo utajiri wako uchumi utapanda he? Utakura ma Tazanite yako? Fikiri kabla ya kusema Mzee. Sent from my TECNO J7 using JamiiForums mobile app
  7. Omar ngallas

    OMBI: Mhe Rais usikubali kukaa meza moja na CHADEMA

    Umeeandika nakala ndefu lakin pointless kaa chin ufikilie tena kaka
  8. Omar ngallas

    Wasanii waungana kupinga maandamano ya UKUTA

    Hhaa haya bana
  9. Omar ngallas

    Jaji Warioba na Cleopa Msuya wamjibu Kingunge Ngombale-Mwiru

    Kwan mahakama haijawaona had ww ungilie kat?
  10. Omar ngallas

    Tundu Lissu: Mwigulu anahusika na mauaji ya polisi CRDB Mbande?

    Heshima yako unathaman gani wewe
  11. Omar ngallas

    Tundu Lissu: Mwigulu anahusika na mauaji ya polisi CRDB Mbande?

    Zimwi la Lowassa linawasumbua serikali
  12. Omar ngallas

    Waziri Nchemba: UVCCM ole wenu muandamane tarehe 31 Agosti

    Huwaa sichambanag huwa naongea fact
  13. Omar ngallas

    BAVICHA:- Ukweli duniani na mbinguni kuhusu Septemba 1 ya Tanzania mpya

    Fikir kabla yakuandika fyonko zako babu
Back
Top Bottom