Recent content by olonyorengai

  1. olonyorengai

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Vp? Njoo Mpwapwa Mkuu
  2. olonyorengai

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Misungwi amdhalilisha mwalimu mbele ya wanafunzi wake

    Kuna taratibu zinazofahamika ktk swala kama hilo , hapo kuna wanafunzi wenye zamu ya kudeki darasa ndio walitakiwa waazibiwe mwalimu wa zamu alitakiwa atoe maelezo kwa uzembe wa kushindwa kusimamia usafi. Mkurugenzi ama hajui taratibu za kazi au alitumia ubabe
  3. olonyorengai

    JamiiForums Tanzania Serikali kuhakiki tena upya watumishi kwa mfumo wa kielektroniki

    Never judge too early guys, tumpe mda Mkuu wetu wa nchi urais sio kaz ndogo jamani
  4. olonyorengai

    JamiiForums Tanzania Serikali kuhakiki tena upya watumishi kwa mfumo wa kielektroniki

    Surprise nyingine hiyo,
  5. olonyorengai

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho kwenda kanisani ni lini?

    Duuuh umegusa wengi, kwa upande wangu ni wiki mbili zilizopita
  6. olonyorengai

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mpwapwa nije ARUSHA DC/MERU DC/BABATI. IDARA Y SEKONDARI (nickeki 0717697648/0762430192)
  7. olonyorengai

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo Mpwapwa nije Dodoma mjini. (Idara ya secondary)
  8. olonyorengai

    JamiiForums Tanzania The HSPs (Highly Sensitive Persons)

    Nami nimo ktk hao HSP
  9. olonyorengai

    JamiiForums Tanzania Kusimamishwa kazi kwa wakuu wa shule jiji la Arusha

    Tatizo la wakuu wa shule wanafanya kaz kwa mazoea, kwa mfano i. Unakuta mwanafunzi ameacha shule ila rekodi zake zinaonekana ktk daftari la mahudhurio kwa miezi hata 6. ii. Kila mwezi wanatuma taarifa za utoro sugu bila ya kuonyesha hatua zilizochukuliwa dhidi yao(kisheria mwanafunzi akikaa...
Back
Top Bottom