huyu jamaa ni mwizi hatari.,.hii namba naichukua naipeleka voda 2ifanyie uchunguzi nafkir hii ni mara ya tatu sasa huyu jamaa analeta michongo hii ya kutapeli wa2...hakuna kazi ya maana hasa ya mgod ambayo hr. Anaanika namba yake ki hasara kiasi hicho huyu jamaa ni tapeli hatari sasa hili suala...
Ki ukwel na shindwa kuelewa kabisa taifa linateketea baba hayupo tunamuomba arudi haraka pengine kesho kama zitto atafanikiwa kupata saini 70 kuna weza kusiwe na gvt sasa kama rais yupo brazil manake nn?
Ki ukweli mfumo karibu wote wa ccm umeoza...tym ya wao kutupisha imefika mi naamini ktk wabunge 50 wa ccm basi nadhan ni wabunge wa 2 tu ambao wanaweza kuwa wasaf mi naomba niwaombe watz wenzangu hasa yale maeneo ambayo bado yamekumbatia mfumo huu mbov yabadilike basi hebu 2wajaribu na hawa...
duh! ujue sometimes mnajitakia tu watu ndo kwanza wanatafuta kazi pengine hata kula hawajala we unaleta stry za magar wapi na wap bana peleka panapo husika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.