Recent content by Olodungoroi

  1. O

    JamiiForums Tanzania Ndoto mbaya zinazoleta usumbufu ndotoni

    Ndugu yangu pole sana, wewe unahitaji msaada mkubwa sana tena wa haraka, nipe namba zako ya watsap nikutumie somo la ndoto na namna ya kuombea ndoto mbaya namna kumuomba Mungu akupe tafsiri ya ndoto na ujumbe uliyobebwa na hiyo ndoto. Nina uhakika ukisoma na kuzingatia tatizo lako nitaisha haraka
  2. O

    JamiiForums Tanzania Ndoto mbaya zinazoleta usumbufu ndotoni

    Hata ukilala mchana ndoto iko palepale
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ndoto mbaya zinazoleta usumbufu ndotoni

    Popote ulipo MÚNGU akubariki sana kwa kujibu swali uliyoulizwa, hapo akikataa kusikia au kuelewa Luka 10;16 inamuhusu
  4. O

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumiliki tecno W5LTE, Nimeamini hakuna simu bora kama tecno

    Mkuu hebu niambie wewe unatumia simu gani na uzuri wa hiyo simu ni upi ili na mimi nikanunue kama hiyo coz, hizi tecno naona watu wengi wanaiponda
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Kuweni makini sana na wahudumu wa bank

    Pole kwa uliyeibiwa pesa. Wakuu mimi nahitaji kujua zaidi kuhusu bank ya NMB maana nataka kufungua acount sasa nahitaji kujua je kuna aina ngapi za account ? Na je ni ipi inalipa zaidi ? Asanteni sana
  6. O

    JamiiForums Tanzania Je, hawa wanawake wa kizungu wanaotutokea kwenye mitandao ya kijamii ni wa kweli?

    Kilichonistua ni hizo pound 55000, nikasema ngoja niwashirikishe wadau
  7. O

    JamiiForums Tanzania Je, hawa wanawake wa kizungu wanaotutokea kwenye mitandao ya kijamii ni wa kweli?

    [emoji1] [emoji1] ni kweli kabisa mkuu hali ni mbaya
  8. O

    JamiiForums Tanzania Je, hawa wanawake wa kizungu wanaotutokea kwenye mitandao ya kijamii ni wa kweli?

    Hahahahaha, mkuu umejuaje hilo
  9. O

    JamiiForums Tanzania Je, hawa wanawake wa kizungu wanaotutokea kwenye mitandao ya kijamii ni wa kweli?

    Kasha niambia nitume namba majina kopi ya kitambulisho na vitu vingi
  10. O

    JamiiForums Tanzania Je, hawa wanawake wa kizungu wanaotutokea kwenye mitandao ya kijamii ni wa kweli?

    Karibu sana utufungue akili tupate kujua ukweli wa mambo
Back
Top Bottom