Iran inaniweka dunia salama baada ya hii vita,USA alijiona mungu mtu sasa kazidiwa amebakia na ubora wa ndege za kivita tu,Iran sasa itawekeza kwenye mifumo ya anga baada ya miaka 20 itakuwa mbali sana, kundi la Handalq hackers litakuwa linahusika kwa masham
Iran ndo nchi pekee ya kiislamu yenye demokrasia ya wazi kabisa,Haina waislamu wenye misimamo mkali ya kinguruwe ni washia wastarabu,Iran haitaanguka kipuuzi kabisa na USA na Israeli wanajua Hilo.......
UV CCM mnakuwaga na akili za mharo sana,nchi hii Ina chama kimoja tu chadema,ccm nje ya police na vyombo vya dola ni weupe kuliko tissue paper,ndo maana bibi yenu yupo zen kujificha anakula kitimoto Cha pwezaaaaaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.