MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI
1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote
2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba.
3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake...
Namuona Kilawila Mwenyekiti wa Halmashauri ya Moshi hapo ametuulia halmashauri yetu na alivyokuwa na akili ndogo Mbowe ndio anamuamini
Sent using Jamii Forums mobile app
Muonekano mpyaa wa chuo cha IHEMI kilichopo mkoani Iringa baada ya maboresho.
Chuo hichi ni cha CCM maalum kwa ajili ya kuwajenga na kuwaandaa vijana wake kiuongozi.
CCM HOYEEEEEEEE
Sent using Jamii Forums mobile app
Kijiji cha Kochakindo kilichopo Kata ya Kahe Mashariki Halmashauri ya Moshi mkoani Kilimanjaro kimekosa mawasiliano kwa zaidi ya miezi mitatu sasa.
Kijiji hicho ambacho kimekumbwa na hadha hiyo kwa muda wote huo na viongozi wake kuonekana kutojali hilo hukwa wakikosa huduma muhimu kama ya...
Sasahivi nasmini kweli akili zenu ni kumu kama nondo mlikuwa mnalalamika treni la kigoma bovu leo mnasema lilikuwa bora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka niwe mkweli lazima walichofanyiwa hakipo Sawa, lakini pia usitudanganye hapa kwamba kule ni kuzuri acha kabisa jela sio sehemu ya kumpeleka akawa na furaha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.