Recent content by Ollotu 92

  1. O

    JamiiForums Tanzania Waturuki nao wako vizuri

    Fatmagul nayo nzuri sana
  2. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta mpenzi wa kutengeneza nae njia ya kuelekea Ndoani.

    Huna maisha una nini..... Kwahyo umekufa
  3. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa pili, mwanamke aliye tayari anifuate PM

    .na ww uwe na bikra moja, uwe mrefu mwenye body inayoeleweka, uwe na tango, uwe na kazi na hela
  4. O

    JamiiForums Tanzania Huwa unamjibu vipi mpenzi wako kumpa moyo pale anapokuomba hela na wewe huna?

    Hahahahaha wanume bhana, mm ukiniambie eti kuna mtu anahela yako hadi akikupa ndio utanipa...... Najua n uongo kabisa..... Kwahyo unaishije hapa town,
  5. O

    JamiiForums Tanzania Chondechonde: Msioe Wanawake waliojichubua na Wanaovaa Mawigi, Mtajuta..!

    Watu wengine bhana, hamna mashiko.... Ulimwengu huu wa digital ukose account, basi turudi kwenye vitochi.........
  6. O

    JamiiForums Tanzania Chondechonde: Msioe Wanawake waliojichubua na Wanaovaa Mawigi, Mtajuta..!

    Hahahahhahahaaha lakini hili jiwe ni la ukweli kabisa, yaan ukimkuta mwanamke kajichubua, kavaa wigi yaan wanakuwaga wakorofi haooooo.... Bado awe na kucha kabandika, ni hatari
  7. O

    JamiiForums Tanzania Msaada Toyota Voltz au Honda CR-V

    hello, boss unatumia ya mwaka gani, na uliipata kwa bei gani?
Back
Top Bottom