Waturuki nao wako vizuri

Waturuki nao wako vizuri

IIe ni nchi ya ulaya huwezi linganisha na hizi nchi zetu za ulimwengu wa tat u.
 
ngoja nisepe wapenda tamthilia niwaachie uzi wenu[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Wasouth Africa ni noma, kuna moja inaitwa isidingo the need aise utasema sio waafrika kabisa walioitengeneza......
 
Nimeachana nayo tamthilia gani nazeeka nayo
Inaitwa soap opera uwa haziishi zinaendelea tu ndiyo maana waigizaji wanaanza igiza wakiwa wadogo mpaka wanakua wanaendelea wengine wanaacha wanarudi ile inaongelea mji wa Horizon Deep ni sawa uamue kutengeneza kitu kinaongelea mfano maisha ya mtaa wa Mchikichini ina maana itakuwa endelevu
 
Namna hii unaweza sahau hata mwanzo ilianzaje?
 
Namna hii unaweza sahau hata mwanzo ilianzaje?
Huna haja ya kukumbuka mwanzo kwakuwa kila baada ya muda ina theme mpya ndiyo maana unaweza kuianzia popote, yani mfano unakuta mwezi huu lengo ni kuwapa awareness wanawake kuhusu kansa ya maziwa, mwezi ujao ni kuwapa awareness kuhusu migogoro ya kifamilia hivyo yani
 
Back
Top Bottom