Nafikiri NAO ndio wamekaguliwa, ukisema unamkagua CAG unaenda kwenye zile mandated activities kikatiba kama anafanya kazi zake sawasawa kama ilivyoainishwa kwenye katiba....Mbali na hivyo sioni kama CAG anakaguliwa.
Kati ya washamba,nafikiri wewe ni msamba namba moja.Pamoja na elimu uliyosaidiwa kupata still you can't reason.
Bila wewe kusomeshwa nafikiri ungeendelea kuwa kama alivyo huyo mpenzi wako kielimu.Cha muhimu upendo wa kweli hauchagui elimu,dini,kabila,rangi,rika nk.
Better kutafakari...
Tafakuri ya kina inahitajika sana,sio vizuri kukimbilia kupondana na kukwepa hoja ya msingi.Ingekuwa vema kama ungekuja na hoja za msingi kuliko kukiponda chama na wakubwa wa chama.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.