Recent content by Olive 1010

  1. Olive 1010

    Nyumba ya kupanga yenye swimming pool

    not more than £900
  2. Olive 1010

    Nyumba ya kupanga yenye swimming pool

    Msaada nina rafiki yangu anatafuta nyumba au apartment ya kupangaisha yenye swimming pool Dar; Any recommendation? maeneo ya Mbezi beach kuelekea Bagamoyo!
  3. Olive 1010

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mwalimu hii ni shs ngapi mpaka ifike?
  4. Olive 1010

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nahitaji na hii pia, one piece
  5. Olive 1010

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nakutumiaje hii hela, ili nipate mzigo?
  6. Olive 1010

    KUUZA MIKATE

    Nataka nianze kuuza mikate nchi jirani from Sudan na Zimbabwe, naanzia wapi kufanikisha jambo hili?
  7. Olive 1010

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Nikikadiria na kodi inaweza fika approximately laki moja!!?
  8. Olive 1010

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Hii naipata kwa shs ngapi!?
  9. Olive 1010

    Wanaotafuta kazi kwenye NGO eleweni hili

    Nimetafuta kazi kwenye hayo mashirika sio volunteer,sio permanent employment wala intership; sijawahi kuitwa...nimeamua niweke ma division one yangu kwenye kabati sasa.
  10. Olive 1010

    Dawa ya hawa funza wa kwenye mahindi ni nini?

    Hawa wadudu wamekua wakinisumbua sana na wanazidi kuzaliana siku baada ya siku!...
  11. Olive 1010

    Kazi ya Photo Entry kwa CSEE na ACSEE

    Unless umewaomba hao wenye picha utumie picha zao kibiashara kama sio basi unaweza kupelekwa mahakamani
  12. Olive 1010

    if we really want development we need more researches

    Early today at the national museum grounds,twaweza made a good presentation on people views on dictorship,democracy and demonstration.For today i dont want to discuss the content presented which is good to its extent though we cannot deny they are some fallbacks. Twaweza is doing a great job...
  13. Olive 1010

    Naombeni msaada, nimepooza kuanzia mabegani hadi miguuni kutokana na ajali

    mpaka sasa anazidi kupokea michango na watu wanazidi kumpa moyo,Mungu ni mwema....kuhusu matibabu ni yagharama sana na hayana uwakika sana kama mnamkumbuka Ahmed yule aliyedive na kuvunjika uti wa mgongo mpka sasa ajapona bado despite the operations mbalimbali za nje ya nchi
  14. Olive 1010

    Naombeni msaada, nimepooza kuanzia mabegani hadi miguuni kutokana na ajali

    ahsante@ chagga king nimeshakutumia,ahsante Nyaka-One kwa ushauri wako
Back
Top Bottom