Recent content by olevaroya

  1. O

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Paul Makonda

    *BARUA YA WAZI KWA MKUU WA MKOA WA DAR. MH.PAUL MAKONDA* Habari ya majukumu mkuu wa mkoa wa Dar,mh.paul makonda natumai unaendelea vizuri na majukumu yako ya kila siku. Mimi naitwa *Abdul Omari Nondo* ni mtanzania ,pia ni mkazi wa mkoa wako maeneo ya ubungo.mh.paul makonda ni leo baada ya...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif kutua Arusha kesho kumtembelea Lema gerezani

    Maalim Seif kutua Arusha Kesho. Makamu wakwanza wa Rais Mstaafu Zanzibar na Katibu Mkuu wa Cuf Mhe.Maalim Seif atafika Arusha siku ya jumamosi saa 5:00 kamili asubuhi,atakapowasili Mhe.Maalim Seif atapokelewa na Viongozi wa Chadema Kanda ya Kaskazini na viongozi wa Chadema Mkoa wa Arusha,na...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Arusha: Lema amewapa kilema Wanaarusha

    Arusha yetu na Mbunge wetu ni lema
  4. O

    JamiiForums Tanzania RC Gambo, RCO, ASP Arusha, Vodacom na mtaalam wa picha kutoa ushahidi kesi inayomkabili Lema

    Kuhusu Vodacom kuwa shahidi upande wa Jamhuri Kampuni ya simu ya vodacom imekubali kutoa ushahidi dhidi ya kesi inayomkabili Mh Lema mbunge wa Arusha mjini! Kampuni ya iphone ya Marekani ilikataa kutoa ushirikiano kwa Serikali ya Marekani kwa kuwa kufanya hivo ni kuingilia uhuru binafsi wa...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha G.Lema na Mke wake wafikishwa mahakamani leo

    Ujijui
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha G.Lema na Mke wake wafikishwa mahakamani leo

    Ujitambui
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha G.Lema na Mke wake wafikishwa mahakamani leo

    Narrow minded
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Arusha G.Lema na Mke wake wafikishwa mahakamani leo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kanda ya Arusha leo imewasomea Mashtaka(Kesi ya Jinai namba 351) washtakiwa wawili ambao ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe.Godbless Jonathan Lema na Mke wake Neema Lema shauri hilo limekuja kwaajili yakusomwa. Watuhumiwa hao wawili wanashtakiwa kwa kusambaza ujumbe...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Hali ya Ng'ombe ni mbaya sana kutokana na ukame

    Watawala wanasema hakuna njaa tizama Video hii ujionee mwenyewe hapa ni Esilalei Monduli
  10. O

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Upendo Peneza, wakamatwa na Polisi Geita na kuachiwa

    Breaking Newwwwwwwwww.... MH. Edward Ngoyai Lowassa amekamatwa muda huu akiwa mjini Geita na sasa anashikiliwa kituo cha Polisi Wilaya ya Geita. Hajajulishwa bado kosa lake au sababu hasa za kushikiliwa na Polisi
  11. O

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Lumumba Wamemlisha maneno Mh.Mbunge Lwakatare sikiliza hii video

    [emoji101][emoji101][emoji115]Hotuba rasimi ya mh.Rwakatare kwa jpm bukoba,kile kipande kilichokuwa kinarushwa ktk mitandao nikama kilikatwa kwa lengo maalum,nahisi ni watu wa mtaa wa Lumumba.
  12. O

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Lowassa kumtembelea Lema gerezani Kisongo

    Hakika umenena vema
  13. O

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Lowassa kumtembelea Lema gerezani Kisongo

    TAARIFA-CHADEMA KANDA YA KASKAZINI Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati kuu Chadema Taifa, Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye wataongozana na Katibu wa kanda ya Kaskazini, Amani Golugwa na Madiwani wa Jiji la Arusha wakiongozwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ndio mpinzani wa kweli Tanzania.Sio huu unafiki mwingine

    Watu wa Chuga wameshapevuka longtime
  15. O

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ndio mpinzani wa kweli Tanzania.Sio huu unafiki mwingine

    Lema ni mwanaharakati wa kweli
Back
Top Bottom