Recent content by oleoju

  1. O

    JamiiForums Tanzania Pico station-wireless access point

    Habari wadau natafuta pico station mwenye nayo anitafute kwa namba hii 0713060101
  2. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    Du ngoja nikajiandkishe sasa upepo unaenda vzur
  3. O

    JamiiForums Tanzania Uandikishaji wa BVR kwa mkoa wa Dar es Salaam

    Wanalipa shngap kwa siku@makofia
  4. O

    JamiiForums Tanzania Qatar Airways interview venue

    opposite na chuo cha Cbe ukivuka barabara ndo gorofa lilipo
  5. O

    JamiiForums Tanzania Msaada written interview TTCL position of marketing intergrator solution

    Ttcl wanajua kutunga ngoma ilikuwa tyt oral bado hawajaaaza kuita please note ukiitwa interview ttcl ujipange usikurupuke otherwise utachora zombi
  6. O

    JamiiForums Tanzania Msaada written interview TTCL position of marketing intergrator solution

    perry naomba mchango wa mawazo mkuu
  7. O

    JamiiForums Tanzania Msaada written interview TTCL position of marketing intergrator solution

    Habari wadau poleni na majukumu naomba msaada kwa wadau wanaojua maswali wanayouliza TTCL katika written interview natanguliza shukrani zangu za dhati interview tarehe 25.03.2015
  8. O

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    me natarajia kuanza kufuga kuku kuanzia mwez unaofuata-mfuga kuku naomba unisaidie njia bora ya kufuga kuku wa kienyeji namba yangu ni 0758216400,oleoju@gmail.com nahitaji msaada wenu nimechoshwa na umasikin niliokuwa nao
  9. O

    JamiiForums Tanzania Mshahara Akiba Commercial Bank

    du hiyo laki nane kwa mwez gawanya kwa 2 ndo mshara wako take home 380000
  10. O

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada Wa Kupata Temporary/Kazi, Nina B. Com In Marketing

    tuma cv yako cats@cats-net.com
  11. O

    JamiiForums Tanzania Interview SIDO Business development officer

    tembelea website yao mkuu
  12. O

    JamiiForums Tanzania Train halipo Leo..

    the big mistake kumtoa mwakyembe
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kuhujumiwa kwa ITV katika king'amuzi cha STAR TIMES Dar

    hata mie nakeleka kweli nimeamua kupumzka kyangalia habar itv bcoz of that yan full sklach
  14. O

    JamiiForums Tanzania Interview SIDO Business development officer

    nimeitwa kwa ajili ya writen interview itakayofanyka CBE next week
Back
Top Bottom