Recent content by olemasai

  1. O

    JamiiForums Tanzania Umri sahihi kwa mtoto kuanza darasa la kwanza (Grade 1)

    Mwanangu juzi ametiza umri wa miaka sita mwakani anaenda std three na anafanya vizuri. Mpeleke
  2. O

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

    Gharama za service charge tulilipa kabla umeme kufungwa but cha ajabu kila mwezi tunalipia the same thing, siwaelewi Tanesco, Muhongo tusaidie
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Dar, Jipime kuhusu Taka zilizorundikana Barabarani

    Huku maeneo ya ngaramtoni uchafu umejaa barabarani .
  4. O

    JamiiForums Tanzania Mwanamikakati wa Lowassa ahusishwa na wizi mkubwa Stanbic

    Think twice
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Magufuli yampa wakati mgumu Godbless Lema

    Tukutane tarehe 14 December
  6. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua alipo Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Tluway Sumaye

    Unafahamu walipo ndugu zako? Sumaye hatakusaidia chochote ukifahamu alipo. HAPA NI KAZI TU
  7. O

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Magufuli akizungumza Kiingereza safi

    Mbona rais wa China alipokuja nchini alikuwa anaongea Kichina ,hivi watanganyika naona ametuloga kuwa kuongea kingereza ndio maendeleo, ebu tubadilike,JPM siyo Rais wa Uingereza ni wa TZ ambao wengi wao wanaongea kiswahili. HAPA NI KAZI TU
  8. O

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuzindua kampeni za mbunge kesho Soko Kuu Arusha

    Sioni sababu ya Lema kuanza kampeni jimbo tulishampa mapema, hapa A town ndio ngome ya CHADEMA, afanye kampeni holehole kwani ubunge ni wake.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Tumeshaamua, akiongea ataongeza kura
  10. O

    JamiiForums Tanzania Wanaomfuata Lowassa mnapoteza muda wenu, Magufuli anasubiri kuapishwa

    Kama wanaomfuata wanapoteza muda, wewe kinakuwasha nini? Kwani Ccm ilishawapotezea muda watanzania.
  11. O

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa na kilichopo nyuma ya pazia, kwa nini Dr Magufuli?

    Asante kwa ujumbe wenye hekima. Ndugu zangu tumwombe Mwenyezi Mungu atusaidie katika taifa tuna kila sababu ya kuomba. Tujiulize hawa wanaotumia pesa kuwachafua wengine, kuwatukana mbele za wazee , vijana na watoto mbele za majukwaa na vyombo vya habari ndio kuona wao wana akili? Mungu...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa atakuwa live Star TV, leo Oktoba 7, 2015 - saa tatu Usiku

    Hana jipya, hapa ni mbele kwa mbele Lowasa ni mpango mzima
  13. O

    JamiiForums Tanzania Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein: Mgombea kufa akitafuta urais 2015

    Mtikila hakuwa anawania nafasi ya urais hata udiwani
  14. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa avaa pete ya Freemason, hii sio ishara njema kwa Tanzania

    Mtachoka mwaka huu, siyo afya tena ni pete kesho sharti, tarehe 26 usemi utakuwa hatimaye lowasa ndani ya ikulu
Back
Top Bottom