Recent content by olemali

  1. O

    Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye ahamia upinzani Rasmi - Agosti 22, 2015

    ahahah hahah you made my day umenifurahisha sana kwa reference ya chechinia . . lakini hapana huu ni ukombozi wa Tanzania yote usiwe na wasiwasi wa masuala ya ukanda hakuna jambo kama hilo ukawa ni timu ya watu makini kwa ukombozi wa tz mpya! join the move , lets go!!
  2. O

    Kauli za Mh.Magufuli zinatisha shaka kumuamini.

    huyu bwana amefanya reverse ya habari kana kwamba eti ilishatabiriwa, aa wp mnachemsha na mwaka huu lazima mkae mamaamaye!
  3. O

    Kamati Kuu ya CCM yakutana saa nne asubuhi, Lumumba

    hawajui waanzie wapi hawajatulia hawa ni wakupepea
  4. O

    CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    well written! you nailed it !! big up !
  5. O

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Nimesikitishwa sana na huyu mzee especially basing on reasons alizotoa kwa kweli hazina mashiko kabsaaa!! but anyway jahazi na liendeleee, wanamageuzi tupo wengi na kwa movement hizi watazaliwa wengi zaidi . . nenda mwaliiiimu . . with or without you we are determined to reach there . . alwayz...
  6. O

    Equity Bank Arusha imefilisika, BOT ingia kati mapema

    kitengo cha mikopo cha hawa jamaa hapo arusha ndo hovyooo kabisaa usumbufu, ucheleweshwaji na poor customer service yaani wana uwezo mdogo sana na ufinyu wa weledi kushughulikia issues za customers , very rigid! na unnecessary disturbance mariam , muro khaah!!
  7. O

    KASHFA: Serikali yawanyang'anya wamasai ardhi na kuwapa DUBAI ROYAL FAMILY

    mbaya zaidi ni kuwa hii familia ya kifalme inatumia eneo hilo kufanyia ufuska na ufirauni wa hali ya juu, wanaagiza direct makahaba wa viwango vya kimataifa from Brazil, europe na states kiwagegeda na si unajua hawa watu na kula jicho tena , na wanafanya hivi coz kule kwao anasa za pombe na...
  8. O

    Kutoka CUF Buguruni: Kikao na waandishi chaahirishwa, Lipumba akanusha fununu za kujiuzulu

    . . kwenye msafara wa mamba kenge nao hawakosekani . . aluta continua!! ikumbukwe mtaji wa mageuzi haya ya kisiasa ni nguvu ya wananchi
  9. O

    Kutoka NEC/Lumumba: John Magufuli kuchukua fomu ya kugombea Urais wa JMT

    kimsingi JK yupo kwenye sintofahamu ya aina yake hivyo simshangai kuona akipanic , ana woga ila anakakamua ujasiri asionao atleast kuwajengea magamba imani kwamba stil wapo on track ila kazi ipo watajibeba just wait . .
  10. O

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    hapo sawa mkuu nakubaliana na ww mia- mia , coz cha msingi ni ku focus on strategies to remove ccm en up roots mfumo didimizi uliopo kwa ajili ya kuingia zama za tz mpya, dr nadhani anatambua na anapaswa kuungana ktk hii common goal, we cant b opposition for ever!
  11. O

    Nimependa msimamo wa Dr Slaa

    you nailed it! !
Back
Top Bottom