Recent content by olegunasoljer

  1. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Jela miaka 30 kwa kuzini na Mwanae wa kumzaa

    Huu ni ujinga wa mwisho uliopitiliza. Ilitakiwa anyongwe kabisa atoweke hapa Duniani ili tumsimkumbuke tena.
  2. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Kivuko Cha Magogoni Feri

    Mara nyingi mali ya Uma, utunzaji wake watendaji wala hawatilii maanani. Unaweza Kuta ni kifaa kidogo tu kinahitajika kwa ajili ya marekebisho. Lakini kutakuwa na konakona kibao mara huyu mara yule mara tusubiri mtiaji saini mkuu kasafiri. Mwisho wa siku kifaa kinaendelea kuoza na kusababisha...
  3. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Ana nini huyu Mke wangu?

    Mke mvivu huyo. Beki tatu kwa ajili ya kusaidia majukumu ya watoto na shughuli ndogo ndogo ili ninyi muwe huru.
  4. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Ulifanya kosa gani Shuleni Hadi kengele ya dharura ikagongwa watu wakaja mstarini kwa ajili yako?

    Mimi na wenzangu tuliweka upupu ofisi ya walimu. Siku hiyo walijikuna sitasahau enzi hizo.
  5. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Siku ya binadamu kufa ni lini?
  6. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri Mkuu kwa kuagiza mmiliki wa jengo akamatwe, tamaa imemponza

    Tamaa mbaya. Ukwepaji wa vibali vya ujenzi na wataalamu wa ujenzi matokeo yake ndio hayo. Tunapotaka kuendeleza ujenzi kwa jengo lililopo tafuta wataalamu wakushauri kabla ya kufanya maamuzi yoyote. N.b mimi ni kanda ya ziwa hivyo L na r msifikirie sana.
  7. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Tuliyaishi haya zamani yetu, sasa yamebaki kumbukumbu ya kuvutia kama si kuchekesha

    Kabla ya Movie yoyote kunakuwa na trailer ya mwanamuziki kutoka Kongo(enzi hizo Zaire)
  8. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wanawake, hakunaga option nyingine zaidi ya madera

    Masaki Madera hayawafai wengi ni vimodo.
  9. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua unaweza kutumia akili kidogo tu ukapata pesa nyingi?

    Uzi bora sana kwangu. Japo ni wa siku nyingi. JF imenisaidia kupata na kupata madini kama haya. Kukodisha vifaa vya ujenzi soon nitaanza kufanya hii biashara maana ujenzi ndio fani yangu.
  10. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Viupele hivi vinaota mara kwa mara kwenye uume na vinauma vibaya mno, ni ugonjwa gani?

    Mi huwa vinanitokea mara moja moja. Na huwa navitumbua japo vinauma, baada ya kama siku mbili huwa vinapona.
  11. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Utapeli unaendelea mafundi kuweni makini hii imetokea leo

    Ukiona mtu anaanza kupiga Dana dana mara hiki mara kile, na si kama mlivyozungumza mwanzo jua kabisa hapo Kuna uwalakini na jambo hilo.
  12. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    Enzi za Pond kuoga kwa wiki ni mara moja. Vyoo lazima uvue shati ndio unaingia, na maji ya kunywa weekend u narudi na kidumu cha maji Lita 5
  13. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    Halafu picha Ilikuwa jambo mkubwa sana. Disco likiisha kinachosubiriwa ni picha tulizopiga na mademu. Kipindi hicho picha kusafishwa mpaka mkanda ujae, hivyo mnaweza subiri mwezi mzima.
  14. olegunasoljer

    JamiiForums Tanzania Crazy things you did in secondary school

    HII tumeifanya sana enzi hizo SHYBUSH SEKONDARI. Sio stempu tu hata tiketi za mabasi, kipindi hicho tulikuwa tunarudishiwa nauri. Nauli 2000/= unaongeza sifuri Inakuwa 20,000/=.
Back
Top Bottom