Recent content by ole22

  1. O

    HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

    nawaombeni waungwana wa UDOM muniangalizie ni asilimia ngapi ya mkopo uliopatikana ktk jina la Mohamed Masoud Mohammed ... tafadhalini waungwana ...
  2. O

    Wazo la biashara..

    mbona kimya sana wadao !!!!!
  3. O

    Wazo la biashara..

    Wakuu ni biashara ipi mzuri ya kufungua kati ya spea za magari na dera ? .. Ingawaje zote mbili mimi nazipenda, ila kwa ishauri wenu ipi bora ?
  4. O

    Ununuzi wa gari la biashara..

    hapo research niifanye zaidi ktk maeneo gani mkuu.
  5. O

    Ununuzi wa gari la biashara..

    Ushauri wakuu. Nina kama Mil 28. Naweza kupata Nisan Civilian mpya(used Japan) mpaka isimame barabarani au ninunue gari gani zuri la biashara ?
  6. O

    Msaada: Mouse kuganda kwenye desktop

    sawa mkuu ... nitajaribu hiyo ....
  7. O

    Msaada: Mouse kuganda kwenye desktop

    hehe ... asante mkuu
  8. O

    Msaada: Mouse kuganda kwenye desktop

    Nilishawahi kubadili RAM mkuu
  9. O

    Msaada: Mouse kuganda kwenye desktop

    Mkuu mara nyingi ikiganda mouse vitu vengine vinafanya kazi
  10. O

    Msaada: Mouse kuganda kwenye desktop

    sio mda wote inaganda mkuu ... inakuwa inaganda na kuachia ... na kama ikiganda kwa mda mrefu, ukirestart huwa inasaidia kidogo na kuweza kutumia tena kwa mdaa
  11. O

    Msaada: Mouse kuganda kwenye desktop

    nakuomba nipe muongozo wa zaidi hapo mkuu
  12. O

    Msaada: Mouse kuganda kwenye desktop

    Naombeni munipe ufafanuzi wa mouse(cursor) kuganda ktk desktop... Kwa mm mwenyewe nilijaribu kubadilisha kila aina ya mouse na kila aina port na pia kutoa virus, kubadilisha window lakini bado tatizo linakuwepo.
  13. O

    Gari gani ndogo ya bei nafuu ni imara

    Gari gani ndogo ilio vizuri kwa safari ndefu, unywaji mdogo wa mafuta na hata uimara wake pia ?
  14. O

    Nimekosea kujaza wilaya kwenye fomu ya HESLB

    kukosea wilaya hamna tatiza ... watu kila kukicha wanahama
  15. O

    HESLB yatangaza kupokea maombi 2016/2017

    na pia mwengine alikosea kwenye usajili ya shule . mfano badala S1111 ameandika R1111 na huwa kuna S na P .. hahaaa
Back
Top Bottom