Recent content by Ole Kwikwi

  1. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Vodacom Premier League VPL' Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa

    Nashukuru Mkuu
  2. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Vodacom Premier League VPL' Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa

    Kituo kinachofuata ni wapi na lini?
  3. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Simba inacheza lini tena Wakuu?
  4. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio safu ya CCM mpya ya Rais Magufuli

    Mbona Musiba sijamuona kwenye list?
  5. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Mkuu pole na majukumu lakini usituache hivi hivi ukipata nafasi tuwekee kidogo!
  6. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Diamond kwa Youtube hana mpinzani hapa bongo

    Nafikiri anamaanisha ni muda gani umechukua kupata hizo views laki 4 maana toka umeachiwa hauna hata masaa 12!
  7. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Achana na tetesi: Lil Ommy, go and get 'em, bro!

    Nashauri kwa hatua aliyofikia Lil Ommy ni vizuri akaanzisha empire yake kama alivyofanya Sky Walker,Zamaradi na wengineo,naamini itafanya vizuri!
  8. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania vs Yanga: Macho yangu yote kwa huyu jamaa

    Na leo katoka kupigwa na Ruvu,tutegemee sare nyingine
  9. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Vodacom Premier League VPL' Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Taifa

    Comment yako inaonesha jinsi gani umekata tamaa,yaani umetafuta chakuponda umekosa una tafuta kisababu cha ajabu eti tumemaliza mashine zote ,sasa hizo mashine ni wachezaji wa Polisi au?
  10. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kweli kabisa,ndio alikua anaanza kupotea,kajiwahi mapema!
  11. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Nimeyumba kiuchumi. Naombeni mnitajie Guest House za kulala kwa Tsh 4,000 au chini yake

    [emoji3][emoji3] Mkuu nipo tayari hata kwa chumvi
  12. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Nimeyumba kiuchumi. Naombeni mnitajie Guest House za kulala kwa Tsh 4,000 au chini yake

    Mimi pia nimeyumba,naomba nije mimi kama mleta uzi hataki.. [emoji3][emoji3]
  13. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Nimeyumba kiuchumi. Naombeni mnitajie Guest House za kulala kwa Tsh 4,000 au chini yake

    Hahaha,itakua amekusikia,ila anaweza mwezi mmoja akaishi guest huku anasave mwezi unaofuatia anatafuta chumba
  14. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Nimeyumba kiuchumi. Naombeni mnitajie Guest House za kulala kwa Tsh 4,000 au chini yake

    Hana hiyo hela kwa mkupuo
  15. Ole Kwikwi

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wangu kimapenzi na "Hamida"

    Mzee fanya mambo, tumekaa kwa kutulia kabisa
Back
Top Bottom