Recent content by OldNol

  1. O

    Maandamano yanayoendelea Kigoma ni salam tosha kwa madikteta CHADEMA

    Wajitathmini kwanza waangalie maendeleo yao chini ya mbunge wao then waone kama mbunge ni bora zaidi kuliko mendeleo yao
  2. O

    Zitto Kabwe kama Julius Malema! Fighting for survival

    Huyu jamaa hata kama anaushawishi mkubwa kwa watu. Tulipo sasa yatosha unafiki mbaya bora wamfukuze kabisa. Wasisikilize hata rufaa yake. Wanatuchezea akili zetu kama midori vile MFUKUZENI TU HAWAFAI TENA HUYO
  3. O

    Hakuna anayeweza kuizima nyota ya Zitto, ila Mungu pekee

    Zito ni binadamu wa kawaida kama wengine hivi tunajadili ni kuwa na uhakika kama wamekiuka misingi au la kumbuka waliomvua nyadhifa ni watu na akili zao timamu hawajakurupuka sasa yeye na wenziwe waprove kama hawajatendewa haki. Ndani ya chama chao kuna ngazi zote muhimu zinaweza kuwasikiliza...
  4. O

    Ni upumbavu kuua na kujiua kwa ajili ya mapenzi

    Uaminifu haupo tena suala la kusaidiana katika elimu ni makubaliano yenu but dada nawashauri waache utapeli wa mapenzi. Na sio kusomeshana tu siku hizi hasa maboss ofisini wanafanya sana hii michezo na wake za watu tena unakuta wote wapo kwenye ndoa zao. Dini zote zinakataza uzinzi. Cha msingi...
  5. O

    Sitta: Bilioni 10 zimeandaliwa kwa ajili ya rushwa urais 2015!

    Kuna wagonjwa kibao mahospitalin kwa nini hawawapi misaada wanapeleka misaada kwa watu wanaoweza kujijengea nyumba za kuabudia wenyewe au angenunua matrekta akatoa misaada kwa vijana ambao anawaita ni bomu kwani hawana ajira.
  6. O

    Vitz T481Cfz....!! Inauzwa.

    Imetembea umbali gani
  7. O

    Kero Kivuko upande wa Kigamboni

    Acheni kutumia hizo lugha zao wakati mwingine tatizo kama hili ni sawa na matatizo mengine ya elimu mbovu afya mbovu rushwa hata kama Magufuli alitulejeli bado ni mwenye mamlaka na hili suala wakati mchango wako wa mawazo unakuwa ni bora zaidi unapotipia constructive idea haitatusaidia...
  8. O

    Kero Kivuko upande wa Kigamboni

    Nimewapata mawazo yenu King Kong na Bull lakini eleweni kuwa si wote wanatoa elf 10 hata pale unapotoa noti ya mia 5 kukata tiket 2 unaambiwa hawana chenji sasa hapa si ni kulazimishwa uache hela yako. Hata kama unatoa elf 10 ni wajibu wao kukupatia chenji maana umetoa hela kamili isiyo pungufu...
  9. O

    Airtel Money Acheni Wizi

    Tatizo ni letu wenyewe serikali walishaweka tozo la hizi pesa zinapotumwa iwe kupitia simu au benki sasa hiyo kodi jiulize nani anailipa kwa serikali kama sio wewe mtumiaji? Amkeni msidanganywe kodi lazima ilipwe kwa tra
  10. O

    Kero Kivuko upande wa Kigamboni

    Cha msingi ni kuboresha huduma maana kuna wagonjwa nk pia customer care ya hawa wahudum wa tkt ni mbovu kabisa tushirikianeni kurelebisha haya Magufuli tunamkumbusha tabia za hawa watu wake wanakera sana.
  11. O

    Kero Kivuko upande wa Kigamboni

    Kumekuwa na tabia ya hawa wanaotoa tiketi hasa wakati wa asubuhi kuzuia watu wasivuke kisa hawana chenji tunakuomba Dr Magufuli ufuatilie hili suala hapa kigamboni. Fanya ziara ya kushitukiza muda wa asubuhi ujionee pia tunaomba masirisha ya tiketi yaongezwe kama upande wa magogoni ili kuondoa...
  12. O

    Bongo movies...

    Tatizo lao kubwa shule ndogo wanalazimisha fani ya uigizaji wanachojua ni kuigiza mapenzi. Jamii inasumbuliwa na rushwa, huduma mbovu za elimu maji afya hata hawa wa bongo fleva nyimbo asilimia 99 ni mapenzi sasa wanafundisha nini kwa Jamii RIP Kanumba
  13. O

    test your eyes

    Only 6
Back
Top Bottom