Recent content by Old Woman

  1. Old Woman

    Matapeli wa ardhi Morogoro wanatamba wanavyotaka kwakuwa wanashirikiana na baadhi ya watumishi wa Serikali

    Naam hili halina ubishi. Morogoro kumekuwa na migogoro mingi sana ya ARDHI ambapo chanzo ni matapeli kuuza maeneo ya watu. Matapeli wa Morogoro wanatamba Wanavyotaka na wanatapeli pesa nyingi sana kupitia kuuza maeneo ya watu, wamekuwa na kiburi Kwa vile mgao wanapeleka Kwa wakubwa wa polisi...
  2. Old Woman

    Kwanini watanzania hasa waliosomea Lugha wanashindwa kuchangamkia fursa za kazi za ualimu wa Kiswahili, Kiingereza na utafsiri wa lugha nchini Japan

    Hili unalosema ni kweli lakini bado narudia elimu yetu inampumbaza mtoto zaidi kuliko kumtengeneza ajiamini katika kupambana, ni kweli kiswahili kwa sasa kina demand kubwa huko nje lakini wanaongoza kuchangamkia fursa hiyo ni wakenya na waganda ingawaje hawakijui vizuri kama sisi. watoto wetu...
  3. Old Woman

    Kwa hali na Changamoto za dunia ya Sasa katika ajira, Kuna umuhimu mkubwa sana kupata elimu katika vyuo vya nje

    Hili unalosema ni kweli elimu yetu inampumbaza mtoto zaidi kuliko kumtengeneza ajiamini katika kupambana na maisha. Kijana akishakosa ajira za ndani anakuawa hana plan nyingine na kibaya zaidi hana uwezo wa kushindania ajira za kimataifa, ni muoga, hajiamini hata kujieleza tu anashindwa Mimi...
  4. Old Woman

    Ifahamu nchi ya Japan na jiji lake lenye viwanda vingi la Nagoya

    Mwanangu hongera kwanza kwa kusoma nje binafsi nimefarijika sana kuona umechukua mda wako kuwa unawajuza vijana wenzako wa Tanzania kuhusu fursa mbalimbali zilizoko huko ng'ambo. Umeandika vizuri na andiko limeeleza kwa mapana sana lakini napata mashaka na hawa vijana wetu huku nyumbani...
  5. Old Woman

    Ifahamu nchi ya Switzerland (Uswisi) japo kwa machache

    Kijana wangu kwa umri huu ninawajua wenzangu vizuri nimeona kijana katoa bandiko lingine kazungumza vitu vingi sana vizuri lakini ukiona comment wanaulizia kuzamia jaribu kuutafufa ukaone
  6. Old Woman

    Kwa Watanzania walio na malengo ya kuishi kutafuta kazi au kusoma nchini Ubelgiji au Uswisi someni hapa

    Sasa kijana wangu haya maandiko yako ya siku mbili hizi yananipa wazimu na hii pensheni yangu hapa natamani nije kumalizia uzee wangu huko
  7. Old Woman

    Ifahamu nchi ya Switzerland (Uswisi) japo kwa machache

    Hongera kwa andiko zuri
  8. Old Woman

    Ifahamu nchi ya Switzerland (Uswisi) japo kwa machache

    Vijana wa hapa nchini sio wachangamkiaji wa fursa katika mataifa ya mbali hii habari ingekuwa imeanzishwa kwenye majukwaa ya Kenya, Uganda au Rwanda ungeona hata maswali yangekuwa ya hamasa na shauku ya kuchimbua zaidi. Ukipitia reply za wachangiaji unaweza usikute swali la maana au yakawepo...
  9. Old Woman

    Ifahamu nchi ya Switzerland (Uswisi) japo kwa machache

    Usicheke mwanangu ndio ukweli
  10. Old Woman

    Ifahamu nchi ya Switzerland (Uswisi) japo kwa machache

    😳😳😳Wewe mtoto wewe Sasa kwa haya mafao yangu si nitaishia bia 10 tu za lita moja😱🤭
  11. Old Woman

    Ifahamu nchi ya Switzerland (Uswisi) japo kwa machache

    Kweli ulaya raha😳 wakati mimi natoka mbezi mpaka mbagala kwa masaa manne
  12. Old Woman

    Ifahamu nchi ya Switzerland (Uswisi) japo kwa machache

    Umenifanya nifikirie kutumia mafao yangu niende kuosha macho huko
Back
Top Bottom