Recent content by Old pirate

  1. O

    JamiiForums Tanzania Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

    Mkuu nipe bei ya windscreen ya grandhiace/granvia
  2. O

    JamiiForums Tanzania NSSF yaendelea kuwaliza Wananchi waliofungua madai ya mafao yao

    Ni kweli kabisa kosa kubwa lipo hapo
  3. O

    JamiiForums Tanzania NSSF yaendelea kuwaliza Wananchi waliofungua madai ya mafao yao

    Kuna mambo mengi sana yamefichika mkuu na wanashindwa kutuweka wazi zaidi wametugeuza watoto kukudanganya hali ya kuwa tunateseka
  4. O

    JamiiForums Tanzania NSSF yaendelea kuwaliza Wananchi waliofungua madai ya mafao yao

    Asanteh kwa ushauri mkuu
  5. O

    JamiiForums Tanzania NSSF yaendelea kuwaliza Wananchi waliofungua madai ya mafao yao

    Asanteh kwa ushauri mkuu ni maumivu sana tunayopitia
  6. O

    JamiiForums Tanzania NSSF yaendelea kuwaliza Wananchi waliofungua madai ya mafao yao

    Jamani ili suala la NSSF limekuwa ni tatizo kubwa sana japo watu wamelifumbia macho ķama hawalioni. Tulizoea zamani unapokosa kazi hasa hizi kampuni zetu za private kimbilio lilikuwa ni vimichango hivi tulojikusanyia wakati tukiwa kazini. Lakini kwa sasa hali ni mbaya sana unakosa ajira...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Car interior designing hupatikana wapi kwa Morogoro?

    Pale nmeenda lkn kazi yao naona c nzuri
  8. O

    JamiiForums Tanzania Car interior designing hupatikana wapi kwa Morogoro?

    Wakuu mm napenda kuuliza kwa hapa morogoro kama kuna mafundi wazuri wa kudesign muonekano wa ndani wa gari kwa bei reasonable hasa kwa kuzingatia hii hali ya sasa ya mzee magu
  9. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kubadili Betri ya gari kutoka N40 Kwenda N50

    Asanteh sana mkuu kwa ufafanuzi wako
  10. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kubadili Betri ya gari kutoka N40 Kwenda N50

    Nani mtaalamu wa hizi mambo ajaribu kutuelezezea maana
  11. O

    JamiiForums Tanzania Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri

    Umeona ulivyokosa pesa sasa hapa ulipoitaja bei umepungukiwa na nn? Inamaana mtu akiuliza mtaan akaambiwa 130000 lazma akurudie atakumbuka kuna jamaa alitangaza kwa 110 hvyo ndo biashara ufanywa mm ni mfanyabiashara naelewa ili ninalokwambia kama mfanyabiashara mwenzang
  12. O

    JamiiForums Tanzania Tunazo betri mpya zinaitwa TNT ni dry cell tunazo size zote ni nzuri

    We utakuwa dalali kuna cha juu hutaki boss ajue bora usitangaze biashara zako kama unaficha bei. Bei ndo kitu pekee knachomshawishi mtu mpaka anaanza kudadisi mengine nakupa siri hyo ndo kiunganishi/kichocheo cha biashara yako vinginevyo usitangaze maana huku mtaan yapo kibao maduka ya betry nao...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Galaton acoustic guitar kwa bei ya kuokota 170,000/= Tu dah!!!!!!

    Gitaa la galaton hakuna uchina, Spanish sound njoo ubahatike wewe mdau wa muziki na rhythm nzito nichek 0688884385 Dar es Salaam
Back
Top Bottom