HABARI ZA MUDA HUU WATANZANIA WENZANGU
NIMEKAA NA KUTAFAKARI SANA JUU YA MSATAKABARI WA HII NCHI YETU LAKINI SIONI MATUMAINI YEYOTE.
TUNAVYO VYOMBO VYA SERIKALI KAMA VILIVYO AINISHWA KATIKA IBARA YA 4 YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA 1977, AMBAVYO NI:-
1. BUNGE LA JAMHURI YA...
Kama wanalipwa wake wa viongozi pesa za bure .
Ngojeni nao waondoke duniani utaona miswada ya kuwalipa watoto wao hadi vilembwe ...
Kwa nini nchi isifilisike?
SALIM AHMED SALIM; MWANASIASA MWENYE AKILI, MTULIVU, WAZIRI MKUU MSTAAFU, MWANADIPLOMASIA MKONGWE NA CHAGUO LA NYERERE KAMA MRITHI WAKE ILA FITNA ZA WAZANZIBARI NA UNYERERE UKAMPONZA, IKAMFANYA ACHUKIWE NA KUGEUKA LULU ISIYO NA THAMANI.
Na. Comred Mbwana Allyamtu -CMCA
Monday 1/1/2023 (🧵Uzi...
Nawashangaa sana watu wenye hasira wananchi wanapouliza kiongozi wao yupo wapii??
Kama uyu anayesema lema ni mpumbavu..... utafikiri yeye ni mtoto wa V.P....ana Stress tupu......hawa ndio wale chawa tena wasiolipwa...
Hawasemi ukweli kwa nini walitolewa kwenye kikao...
Ipo shida kwa hao watu wawili lakini wapambe wao hawa kina Munga hawasemi ukweli lakini watu tunaijua
Ndugu wana jf ni siku za karibuni tuu wananchi wa Loliondo ngorongoro wameondolewa kwenye maeneo yao ya asili...na sasa zoezi hilo limeshaanza wilaya ya Longido ambapo vijiji zaidi ya 30 vya mlima wa Ketumbeine na Gelai wameambiwa waondoke haraka kwenye maeneo yao ambayo wameishi kabla hata ya...
Ndugu wana Arusha na watanzania wote kwa ujumla mkuu wa mkoa wa Arusha, mkurugenzi na mamlaka husika za usafiri walipaswa wawe waneshatumbuliwa mpaka sasa kutokana kushindwa kutatua mgomo uliopo wa magari ya usafirishaji ulioleta adha kwa wananchi mara ya pili sasa ndani ya muda mfupi.
Hali ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.