Recent content by oladipo

  1. O

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Sawa Nike wakileta hizo jezi original na wauze jezi Moja laki nne na themanini wangapi watanunua? Cha msingi tumuamini mwafrika mwenzetu km Kuna changamoto kwenye ubora tumpe nafasi ya kufanya marekebisho
  2. O

  3. O

    JamiiForums Tanzania Makonda: Tukisema jezi ni mbaya mnatupeleka Mahakamani? Hatuna haki ya kutoa maoni?

    Wakili wa Nini wakati mahakama wanazimiliki
  4. O

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Hio ni kazi ya tff walioingia mkataba
  5. O

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Na hili ndio tatizo letu waafrika hatuamini katika vitu vyetu tunaamini vya wazungu yaani kitu kikiwa Cha mzungu TU tunaona Cha kwetu hakifai...dangote anapambana kututoa kwenye iz fikra za kitumwa na kutuaminisha waafrika tunaweza km tukiamua...sasa wewe ndugu yangu ni mhanga wa fikra za kitumwa
  6. O

    JamiiForums Tanzania Makonda: Sandaland akiendela na msimamo wake tutatoa Jezi kila mtu auze zake

    Ni hatari tupu mkuu! Halafu wanna promote kampuni ya nje Nike wawape hio tenda! Halafu wakisimama majukwaani wanasema wanapambana biasha
  7. O

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe Afunguka; Hatma ya Dickson Job na Clement Mzize Yanga SC, Wapewa ‘Green Light’ Yanga SC

    Hili pia nawaambiaga watu ukicheza huko kwa warabu thamani Yako inapanda maradufu. Sele mwalimu asingeenda wydad hata km angesajiliwa yanga au simba asingekuwa analipwa mshahara anaolipwa sasa! Msuva Toka ameenda uarabuni thamani imepanda sana mpaka simba na yanga Kila wakitaka kumsajili...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mtu mliezoeana anapokubadilikia ghafla kwajili ya pesa, ndipo unapogundua si kila tabasamu lilikuwa la kweli. Nimevunja rasmi mazoea ya miaka miwili

    Nilivyomuelewa mleta mada tatizo sio hio elfu kumi tatizo ni kukosa ustahimilivu kutoka kwa jamaa licha ya kumpa dili kadhaa hapo nyuma yaani kwa kifupi jamaa hana shukrani
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kaizer Chiefs imemtangaza rasmi Adolf Mtasingwa kuwa kiungo wao mpya kutoka Azam FC

    Amesharidhika naskia Azam wanamlipa 50 milion
  10. O

    JamiiForums Tanzania World Cup Final: Spain 1-0 Argentina | Julai 19, 2026: | Metlife Stadium | Spain Bingwa

    Argentina waktangulia kupata goli Moja hii mechi wanashinda
  11. O

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Capt. Traore azuia Shariah law, awazuia Imams wote walio enda kusoma Saudia kurudi Burkina Faso

    Tafsiri Yako sio sahihi. Amesema hao wanaosoma Sharia law warudishwe bukina Faso watakaogoma ndio watavuliwa uraia ...yaani mpaka hapo ushapotosha watu wengi sana next time kuwa makini
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea kwa Madiba ni dhahiri kuwa Afrika imejaa laana

    Kuwapigania ndio isiwe sababu ya kuanzia kuwauzia madawa ya kulevya na kuwaibia ...nchi Yao mmegeuza km soko mmejazana mpaka wenye nchi hawapumui mnafanya uhalifu mmejazana kwenye jela zao mnakula Bure hospital mmejazana mpaka wenyeji wanakosa vitanda, mmegeuza watoto wao wamekuwa mateja...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea kwa Madiba ni dhahiri kuwa Afrika imejaa laana

    Ila kiukweli south Africa wageni walikuwa wamejazana kupita kiasi yaani ilikuwa kero sana kwa wenyeji
Back
Top Bottom