Recent content by ol-quotes

  1. O

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa waislamu kufunga barabara kisa wanaswali?

    Mtu kakaangwa humu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  2. O

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuongee na Madaktari

    Masikini, unavyoandika utafkiri sifa. Utalipwa tu, zinaa Ni Deni lazima ulilipe. Watoto wako wa kike, mkeo hata dada zako. Tena watafanyiwa wakiwa bado Ni watoto wa miaka 10
  3. O

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli kuhusiana na Bidhaa za Azam. Kuna mengi tunayanyamazia…

    Wananishangazaga wamama, eti mtoto kaacha kunyonya anakuwa ana ratba ya juice kila siku mweh
  4. O

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kazi au shughuli yoyote, nipo Dodoma

    JKT miaka minne em jaribu kuapply magereza na polisi japo una 26... Wewe apply hivyo hivyo
  5. O

    JamiiForums Tanzania Mke hataki ndugu zako, utafanyaje?

    Memtata fanya hivi ndugu yangu... Chukua huyo mtoto mpelekee mkeo mkae nae. Mbna unalazimisha mwanamke kuachika?
  6. O

    JamiiForums Tanzania Mke hataki ndugu zako, utafanyaje?

    Hajafiwa na we nae
  7. O

    JamiiForums Tanzania Machungu ya kukosa ajira

    Mmmmh hapana... Wewe sio jobless hata kidogo. Wewe hutaki kufanya kazi. Hela za bando kujiunga mitandao yote hio ya kijamii na kuangalia porn unazo Ila za kijibiashara kidg huna.una hela Hadi za kutafuta madada poa lakin unalalamika huna ajira. Em tuache tusio na ajira tucomment. Ambao tunaweka...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Acha ukorofi 🤣🤣🤣
  9. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Nombeni maandazi nishushie
  10. O

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua gharama za kujifungua private Hospital

    Zaa wewe Sasa tukuone, km Ni rahisi. Eti hapo Ni kuzaa tu... Zaa na wewe nasisitiza
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu awasaidie

    Mmmmh hapana... Mazoea km haya huwa yanakuja na jinsi mtu unavyojiweka. Ulikaribisha mazoea mwenyewe... Yani mtu atoke na jisufuria lake aje apashie kwako??? Weeeh. Sijipati bado.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Nikiona watoto na mbwa huwa nalia

    Hauna tatizo lolote, you are very okay... Mimi na wewe tunafanana. Halafu ukiwa mtu wa aina yetu sijui ndo hivi visa unakutana navyo Sana hata siielewi... Unapita zako barabarani, Mara unaona mbwa anakatisha, Mara hee anatokea mtu mzima haswa anaokota jiwe anampiga mbwa. Hapo huwa sijali Yani...
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Miaka 18 iliyopita niliingia kwenye uhusiano na ‘Bi Mdogo’ na kuzaa naye watoto 2

    😅😅😅😅 Umenikumbusha masale... Nilifanyaga kosa bwana nikafukuzwa nyumbani (Ila wazazi bna, cjui wanawazaga nn) nikasepa nikaenda kujipanga kimaisha nikarudi kuomba msamaha ili wasiseme maisha yamempiga ndo naamua kurudi... Dada yangu ndo akaniambia nitafute hayo majani.... Yeye aliyaita isaalee
Back
Top Bottom