Recent content by okwonkwo II

  1. okwonkwo II

    Msaada: Nyoka wananimalizia mayai ya kuku wangu

    Dawa ndogo sana, choma tairi la baiskel au piki piki paka paka bandani hawez sogea, nyoka na tairi iliyoungua n mbali mbali. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. okwonkwo II

    Biashara ya kuuza genge

    Kuna sehemu moja inaitwa ng'ong'ona karbu na UDOM kule COED panafaa sana. Utapiga pesa sana wanachuo kibao. Utakuja kunishukuru baadae. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. okwonkwo II

    Napenda nijue ratiba ya minada ya huko Katavi

    Minada ya katavi huwaga kila tarehe furan kwa mwezi eneo fulan, Changamoto zlizopo huko n usafri kutoka kijiji kimoja kwenda kingine hasa vijiji Ambavyo haviko karb na barabara kuu za kuunganisha mikoa. Biashara nzuri n kipnd cha msimu Wa kiangaz utapga pesa uchanganyikiw mwez Wa 5 mwishon - Wa...
  4. okwonkwo II

    Naomba ushauri wa biashara

    4.6 inatosha kabisa tena nyingi mno. N kulingana na anachukulia wap na kupeleka wap Sent using Jamii Forums mobile app
  5. okwonkwo II

    Naomba kufahamu masoko ya kuuza asali kwa jumla

    July - October sana sana Sent using Jamii Forums mobile app
  6. okwonkwo II

    Nina wazo la kufanya biashara ya malighafi zitokanazo na mifugo

    Soko la mbolea ya mifugo eg mbolea ya kuku mie nnalo la uhakika. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. okwonkwo II

    Hodi Zanzibar

    Bustan. Bambi. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. okwonkwo II

    Tamu na chungu ulizopitia wakati unaanza biashara yako

    Mbongo kuonyesha alichofanikiwa watu waige ni Noooo lakin alipofeli anaeleza bayana. Teh teh. Tuonyeshe hyo fursa bhna. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. okwonkwo II

    Biashara ya simu second hand

    Wanaita mtumba; zpo nying na kwa bei nafuu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. okwonkwo II

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Bado unajishughurisha na hii biashara? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. okwonkwo II

    Biashara ya dagaa wa nyama

    Npo kilwa, tunaweza fnya kaz kama unahtaji vumbi la dagaa kwa ajiri ya mifugo. Kwa wing sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. okwonkwo II

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza nazi pamoja na uwepo wa masoko

    Npo kilwa; zipo nyngi huku. Kwelekwe zna bei gan jumla kama una taarfa aisee. Ndondoshe mzgo mie Sent using Jamii Forums mobile app
  13. okwonkwo II

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Habarin wana ndugu, Mimi n mkulima Wa mda sasa Wa mboga mboga na matunda, nna experience ya kilimo cha tikit maeneo tofauti (nmewahi kulima katavi baadae nkahamia Zanzibar). Npo pwani kwa sasa, nmeyumba kifedha kiasi, nahitaji mtu alie interested na kilimo hiki aweze tuungane kufanya kazi...
  14. okwonkwo II

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Acha tabia za kukatisha tamaa watu, hiyo laki na nusu ni mtaji mkubwa sana, inategemea upo maeneo gan, kuna sehem kuku hununuliwa had 5000, so kwenye 15000 kuna kuku wangap?, hata akichukua Wa 10 10 kuku 12 akabakisha 30 ya kusafrsha mjin akawauza 15 hajapga pesa? Mtaji sio had mamilion mzee...
Back
Top Bottom