Recent content by Okuly Julius

  1. Okuly Julius

    Alex Massawe kakamatwa!

    hata ukijaribu kuangalia mwanae kilichomfanya aache mpira katika kile kiwango chake cha hali ya juu ni haya maswala ya wizi tu hivyo hiyo ni chain ndefu sana ya wizi kwenye hyo familia.Hata hapa ARUSHA jamaa anayo hotel kubwa tu inaitwa AM hotel nadhan waliopo Arusha ni mashahid wa hili.
  2. Okuly Julius

    Tambua Wizi mpya wa Vodacom Tanzania, Serikali iko kimya

    asante sana kwa kuliona hilo kwani hata hzo pesa wanazopewa washindi unajikuta ni zile zile za sms kwa hivyo wao hawana lolote wanaloliongeza zaidi ya wizi mtupu kikubwa hapa ni elimu kwa watanzania ili waweze kuepukana na huu utapeli wa kitaalamu unaofanywa na hawa wajanja.Binafsi mimi huo...
  3. Okuly Julius

    Lowassa si muadilifu, ni wa kuogopwa kama ukoma

    una haki ya kusema ila hakuna sheria niliovunja hapo kama lowassa hafai si kwa upande wako ama ndio kusema tufuate unachokiwaza wewe kwani hilo neno tupa kule limetumika sehemu gani ambapo pana vitu vya maana,?
  4. Okuly Julius

    Diamond agombee ubunge jimbo la Ubungo

    hawezi kuwa mbunge kwa hata kutengeneza hoja itamsumbua tu aendelee kubadilisha wanawake tu.
  5. Okuly Julius

    Naomba ushauri Kozi fupi ya kusoma

    kikubwa kasoma tourism na vyuo kwa sasa vpo vingi kwel ya hasa huku kaskazin mwa nchi vimejaaa alaf vipo sawa tu kingine komaa na lugha za wenzetu kama Kifaransa,Spanish, na Germany itakutoa sana tu.
  6. Okuly Julius

    Ni mahala gani na mara ngapi tunaweza kuitana dear ama baby

    '''ni kwel kabisa just uamuzi tu au sio'''
  7. Okuly Julius

    Lowassa si muadilifu, ni wa kuogopwa kama ukoma

    lowassa ndio rais bhana wengine tupa kule kwanza hao wengine ni maskini wa mawazo jambo dogo tu wanaanza kulia sasa atawasaidia watz kwel mtu wa machozi la! asha LOWASSA ndio Prezida bhana.
Back
Top Bottom