Recent content by okidoki

  1. O

    JamiiForums Tanzania Njoo tubadilishane kituo cha kazi mwalimu

    Njoo Songea,shule iko Peramiho pale pale, na mimi nije Kibaha, Dar, Morogoro, ama Dodoma..Ni sekondari
  2. O

    JamiiForums Tanzania Hivi dawa ya kipara ipo kweli jamani?

    Tumia mafuta yanayoitwa t444z, ni mafuta mazuri sana na yataondoa kipara chako.Ni gharama sana,ila yatakusaidia.hata hapa Tanzania yapo,ukigoogle hilo jina utaona number zao na wapigie watakuelekeza ofisi zao,ili uende ukanunue
  3. O

    JamiiForums Tanzania Sijajua hii SMS inamaaniisha kibuti au warning, msaada please

    Mmmhhhh, achana naye na uanze maisha upya
  4. O

    JamiiForums Tanzania Sijajua hii SMS inamaaniisha kibuti au warning, msaada please

    mmmhhhh!!!!!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Pccb- mbona jina langu na maksi zangu sizioni? Kosa langu ni nini?

    Inawezekana uliandika utumbo ndio maana hukuchaguliwa...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Pccb- mbona jina langu na maksi zangu sizioni? Kosa langu ni nini?

    Kazi zimekuwa almasi siku hizi..mmhhh!!!!
Back
Top Bottom