Recent content by Okeilomo720

  1. Okeilomo720

    Hivi kuna uwezekano waziri wa mikopo naye akakosa mkopo?

    Kinachoanza Ni Kupata Au Kukosa Mkopo Then Uwaziri Unakuja Baadae, Kwa Hiyo Inawezekana Waziri Wa Mikopo Akawa Hana Mkopo
  2. Okeilomo720

    Wenye Division III wamepata chuo?

    Una Cut Point Ya Ngap?
  3. Okeilomo720

    Wenye Division III wamepata chuo?

    Hawaangalii Division Wanaangalia Cut Point, Mdogo Wangu Ana III Ila Amechaguliwa Vyuo Vinne Kati Ya Vitano Alivyoomba Awamu Ya Pili
  4. Okeilomo720

    Kurugenzi ya Fedha ya Acacia yasema haina kiasi cha dola milioni 300 za kuilipa Tanzania

    Haya Ni Matatizo Ya Kufanya Vitu Kwa Mihemko, Serikali Inabidi Ikae Chini Ijiangalia Upya Katika Hili
  5. Okeilomo720

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    [emoji28] Lord Is My Shepherd
  6. Okeilomo720

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    [emoji28] Lord Is My Shepherd
  7. Okeilomo720

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Pamoja Mkuu Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
  8. Okeilomo720

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Anhaa Asante Sana Mkuu Post sent using JamiiForums mobile app
  9. Okeilomo720

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Kwani Si Nilisikia Degree Ni Mpaka Uwe Na Division 1 Na 2.. Division 3 Na Kuendelea Ni Diploma Ata Kama Una Principal Za Kwenda Chuo Kikuu Au Imekaaje Iyo Wadau? Post sent using JamiiForums mobile app
  10. Okeilomo720

    UDSM chuo baba

    Pongezi Kwa Viongozi Wote Waliohusika Japo UDSM Ndo Walioonekana. Kwenye Picha Ni Rais Na Waziri Mkuu Wa Ardhi University Wakiongea Na Waandishi Wa Habari Baada Ya Kutoka Ofisi Za Wizara Ya Elimu
  11. Okeilomo720

    Nimeamua kwenda na mke wangu UDOM

    Mtakula Vumbi... Shubamiti
  12. Okeilomo720

    Tetesi: KUHUSU BOOM

    Wameiwekaje Pesa Ya Boom? Kama Zamani 710000 First Semester?
  13. Okeilomo720

    Tetesi: KUHUSU BOOM

    Boom Limewekwa Kwa Asilimia?
  14. Okeilomo720

    Jaman msaada

    Iyo Picha Haipo Full.. Kwenye Row Ya Tano Imeandikwa Status Chini Ya Status Hapo Hapajaandikwa Kitu??
  15. Okeilomo720

    Jaman msaada

    Application Status Yako Ikoje?
Back
Top Bottom