Recent content by okakaT

  1. O

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mzee Kingunge Ngombale–Mwiru afariki dunia! Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi

    R.I.P Mzee Kinginge na Mungu awape wepesi familia yake na watanzania kwa Ujumla.”Bwana Ali toa na Bwana Ametwaa,Jina la Bwana Liimidiwe”
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza chuo kikuu lakini nimekata tamaa na maisha

    Kata tamaa utavuna faida yake,unataka lifti utoke step Moja kwenda nyingine uku umelala geto?,Elimu sio lazima Ikusaidie palepale au kilekile ulichokisoma....”toka tafuta kazi kila siku kwa siku saba uku ukiomba Mungu akusaidie” Acha lawama .....toka Kaka maliza soli ya viatu
  3. O

    JamiiForums Tanzania Mpwa wa Rais Magufuli autaka uenyekiti UVCCM taifa

    Taarifa yako imekaa kama vile kampeni,kuwa wazi tukuelewe,James Kheri au Kipara issue sio udugu issue ni uwezo wa kuiongoza chama na wanachama kwa ujumla.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Dkt. Goodluck Ole Medeye arejea rasmi CCM

    D dume anakimbiza majike wakazali chama kubwa uku wao wakibaki bila kizazi kijacho,watakoma.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje TANESCO Wakajenga Katika hifadhi ya barabara?

    Jengo la mtu tanesco ni wapangaji(landlord yuko nje ya Chama)akigombea uraisi! Tanesco ni wapangaji narudi a tena na tena na qanalipa kodi kwa wazee wa Richie mound! Ilijengwa pale kwa mabavu ya watu wakiwa kwene dola back in the days. waniaamee ndo nimeshasema ivo ni geto ya boys II men!
  6. O

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Nyanza Commercial Farm, Dilipkumar Patel, amehukumiwa miaka 20 jela kwa kukutwa na kucha za simba

    Panjii kwenda zake jela bhana! Ila wamenitesa zama zile kuliko kawaida ata kuwafikisha kituo cha polisi tu,hizi zama acheni washigulikie tuokoe rasilimali zetu.
  7. O

    JamiiForums Tanzania RICH DAD POOR DAD: Nimemaliza kusoma kitabu hiki, nisome kipi kingine?

    Rich Dad's Guide to investing (What the rich invest in,that the poor and middle class do not) By Robert Kiyosaki. Hii itakusaidia kuendeleza series ya ulichokipata na itakujenga sana kwene ujasiriamali.
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa vyuo vikuu wana tabia kama za wahudumu wa baa

    Katika Jina la Yesu ushindwe!
  9. O

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu(Pokea ushauri huu)

    Nawashukuru sana wizara ya Elimu Tanzania kwa jitihada zote wanazochukua ili kufanikisha elimu bora inapatikana kwa watanzania kwa garama nafuu(Elimu bila malipo kwa elimu ya awali mpaka secondary),kuwahisha mikopo kwa wanye vigezo vya kupata mikopo hiyo(Taassisi ya mikopo elimu ya juu) na...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Dkt. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi

    Hana makosa,walipaswa kujuwa,kwani kichaa akukimbia na nguo za mtu asokuwa na kichaa...uku wakikimbizana kichaa kavaa nguo asokuwa kichaa yuko uchi:swali Nani sasa ataonekana kichaa zaidi? (Yono vs Dr.Shika as case study)
  11. O

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada ajibu barua ya Magufuli kuhusu Bombardier. Asema hawezi kuingilia Mahakama...

    Tutumie verified copy ya article hii at least lini maandiko / machapisho haya yaliripotiwa na je ilitoka kama ivi kwene Jamii forum au barua? Je ilikuwa kupitia forum kama hii amabyo tunashukuru Mungu ata ukituambia kitu tunauliza ushaidi na kama hamna tunatupilia mbali? Ya kwao ni tofauti sio...
  12. O

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kutoa Milioni 10 kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa aliyekuwa mhasibu wao, Godfrey Gugai

    Eh! George Gugai? Nimewahi kutunwa na yeye kwamba waliosoma ni Accountants,Doctors na Wanasheria tu! Faculty zingine hizi eti ata watu kutoka ajira zisizo rasmi na wasioenda shule wanaziweza,mali zote are registered at his names and initials.sasa kumbe ata yeye aliyekuwa ananiambia elimu yangu...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Nyumba self contained inaweza kuwa na public toilet?

    Hahaa! Ni mtazamo wako Ila kwa uhalisia kuwa public au private ni namna ya matumizi na mtazamo wako.Mfano "vyumba vyote vina private washrooms(vyoo binafsi ya vyumba husika) kwa wale watumiao ivo vyumba tu Alafu unacho chumba Kimoja cha choo ambacho chenyewe watu husiowataka wafike kwene vyumba...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mtu anaesafiri kwenda nje kila siku lakini anabeba wallet na passport tu, utamfikiriaje?

    Siku kumi inawezekana lakini 48 haiwezikani kabisa.
Back
Top Bottom