Recent content by Ojunju

  1. Ojunju

    Pongezi kwa Benki Kuu (BoT) kwa kupunguza riba za mikopo kwa watu binafsi na watumishi wa umma.

    Nilitegemea ndugu ulete waraka kamili kumbe unaleta assumptions au umesahau Taasisi ni Nyaraka/Maandishi siyo mapambio ya jukwaani?
  2. Ojunju

    Kwamba naye mkuu wa muhimili fulani anawekwa pembeni?

    Desert mission lakini kagoma katukatu hata yaharibike vipi na lile gazeti lenu pale JKICC alipokuwa na wale UWT mhariri alimnukuu vibaya.
  3. Ojunju

    Mpina umeuponza, subiri UTEUZI wa kitaifa

    Mpina anachezea meza yenye vinywaji vya gharama mbele ya wageni😁😁😁
  4. Ojunju

    18+ : Nimeshangaa sana. Hii mpya kwangu... Hivi ni tamu kiasi hicho?

    Na maamdiko yanasema hakuna atakayeuona uso wa Bwana akaishi acha komeo ilegeze kufuli
  5. Ojunju

    Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza

    Nabii Mkuu Dkt GeorDavie amekabidhi gari moja la mkuu wa kituo cha polisi Tengeru kati ya mawili anayoyatengeneza kwa jeshi la polisi Mkoani Arusha kwa lengo la kupambana na uhalifu nakuimarisha ulinzi huku akitarajia kujenga kituo cha polisi Moivo katika kata ya Sekei Mkoani Arusha Afisa...
  6. Ojunju

    Polisi waingia nyumbani kwa Nabii GeorDavie,wakabidhiwa gari ya Million 30 aliyoitengeneza

    Nabii Mkuu Dkt GeorDavie amekabidhi gari moja la mkuu wa kituo cha polisi Tengeru kati ya mawili anayoyatengeneza kwa jeshi la polisi Mkoani Arusha kwa lengo la kupambana na uhalifu nakuimarisha ulinzi huku akitarajia kujenga kituo cha polisi Moivo katika kata ya Sekei Mkoani Arusha Afisa...
  7. Ojunju

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesisitiza hataacha kuzungumzia masuala ya demokrasia na haki

    Balozi wa Marekani nchini Tanzania amesisitiza hataacha kuzungumzia maswala ya demokrasia na haki za kinyume na alivyoagiza rais Samia Suluhu Hassan. Balozi wa Marekani nchini Tanzania Michael Battle amesisitiza kwamba haitaacha kukosoa ukiukwaji wa haki za binadamu na kuminywa kwa demokrasia...
  8. Ojunju

    Majina ya kificho ya Marais wa Marekani (Code names) na maelezo ya maana yao

    Mkuu em ipe credit zaidi Kuna jambo ulikusudia ila umeamua kuishia njiani malizia tu concept nzima.
  9. Ojunju

    Dark days 17/03/20

    Mpina kapata wapi zile verified infos za Sukari? Nani yupo nyuma yake? Unadhani target ni Bashe? Kwanini Kuna Watu wanatupwa nje ya ukuta pale ikulu? Unadhani ni bahati mbaya marehemu kuteuliwa au barua zao kuwa na makosa kila siku Kama mwandiko wa chekechea? Kuna mtu hatakiwi kurudi mahala na...
  10. Ojunju

    Dark days 17/03/20

    Kete zinasukumwa kwa kasi ya 6G who will conquer the Throne?
  11. Ojunju

    Hizi ndizo salamu za Mei mosi za Rais Samia kutoka Kenya

    Ninachompendea Samia hakati tamaa na hapa kwenye diplomasia kashaurika vizuri✊
  12. Ojunju

    It's now very clear that M23 in Eastern DRC is Rwandan Army Fighting for Tutsi purported Rights

    Rwanda yaeleza wasiwasi wake kufuatia Marekani kuwa na utata kuhusu watu waliouawa katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 Rais wa Rwanda Paul Kagame ameeleza wasiwasi wake kutokana na Marekani kuwa na utata kuhusu watu waliouawa katika mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda. Kauli hiyo ya...
  13. Ojunju

    It's now very clear that M23 in Eastern DRC is Rwandan Army Fighting for Tutsi purported Rights

    Ipo kimkakati haujiulizi kwanini Sasa? Na kwasasa kipindi ambacho ID ya M23 inawekwa wazi bila kificho haujajua nini nyuma ya pazia? Unafahamu nini kuhusu Desert Mission? P J K L Uncoded Code Stay Tune yetu macho.
  14. Ojunju

    U Rwanda rwanze umuceri wavanywe muri Tanzania

    ikigaragara muri ibi biganiro ni ubushotoranyi bwa diplomasi kandi uburakari bwawe ni uguhashya itsinda ryawe M23 ukunda muri DRC kandi ukurikije amakuru yawe, Tanzaniya izarinda amahoro y'aka karere k'ibiyaga binini n'ishyari ryinshi kandi uko byagenda kose, umuntu uwo ari we wese yivugiye ubwe...
Back
Top Bottom