Mnatutisha sana sisi ambao tulikuwa tumeanza kuamini kuwa uenda vyama vya upinzani vishika madaraka wananchi watakuwa na uhuru wa kujiamulia mambo yetu,lakini kwa kauli hizi "nyinyi ni madikteta" kuliko hata hao wanaoongoza sasa,watu wote hatueezi kuwa wanasisa
Haya majibu yenu sasa ndio yanatupa wasiwasi,kila siku mnalalamika kuhusu udikteta halfu nyiyi tena mnataka kuwachagulia watu cha kufanya,hakuna nchi yoyote duniani ambayo watu wake wote wanajadili siasa tu,kama wewe hauupendi mpira wa bogo(Simba/Yanga) baki kwenye stress za CCM na CHADEMA
...aiseee!..."wa-nyumbani" sijui
nikupe pole au
hongera?,anyway bilashaka
unastahili kupata mambo yote
mawili.Kwanza pole sana kwa
kuingia ktk majaribu na
hongera sana kwa
kujinasua,ktk mazingira kama
hayo ata kama ingekuwa ni
mimi ningefanya kama
ulivyofanya wewe.Kuna baadhi
ya...
...mkuu mbona walisha pitisha sheria nyingi tu za kijinga,unaikumbuka ile sheria ya kukonyeza?(haijalishi unamatatizo ya macha au la,ni kwamba ukionekana tu unamkonyeza mwanamke bila ridhaa yake imekula kwako)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.