Recent content by OJODE

  1. O

    JamiiForums Tanzania Walimu kazi mnayo, wanafunzi wanajiandaa kwelikweli!

  2. O

    JamiiForums Tanzania Lijue serikali/baraza la mawaziri

    Kumbe Ninalingana na Majaliwa kielimu BAED kama Mimi safi sana.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Elimu Bure: Zigo linalokwenda kuwaamgukia waalimu?

    Umeongea vizuri mwalimu! Ushauri wako umefika tutayafanyia kazi sisi kama wadau Wa Elimu.
  4. O

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tamko la Edward Lowassa Baada ya NEC Kumtangaza Dr Magufuli Kuwa Mshindi wa Kiti cha Urais

    HALI HALIS YA WATANZANIA SASA HIVI kumepooza kila mahali Sio sokon sio mitaan Sio majumban na wala sio katka taasis yoyote ile iwe ya uma au ya binafsi ANAEDAIWA KUWA NI MSHINDI WA URAIS (MAGUFULI) LAKIN WATU WAKO KIMYA KAMA WAMETANGAZIWA HABAR YA MSIBA Ingia mitandao ya jamii Fb...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Nimefanya maamuzi magumu

    Na hakuna wengine Zaidi ya CCM, watanzaniawenzangu iambieni CCM basi imetosha.Tunatamani kuziona na sisi Air Tanzania zikirukakama zilivo ndege za Ethiopia, Rwanda na Kenya.Jamani tunatamani kuiona TTCL ya Tanzaniaiking'aa zaidi ya Vodacom, Tigo na Airtel. Jamani watanzania wenzangu mbona...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Lwakatare mgonjwa, alazwa Bukoba Mjini

    kwanini utoe tarifa usiyokuwa na hakika nayo. ungesubiri basi CHADEMA watoe taarifa kama unavyodai! Pambanya wewe!
  7. O

    JamiiForums Tanzania Ivi ubabaishaji uliopo kati ya nmb mobile na m~pesa na wenyewe ni kutokana na serikali ya ccm

    pole sana tatizo lako linafanana na langu Mimi toka Jana mpaka Leo nimeshindwa kupata huduma ya NMB MOBILE.
  8. O

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  9. O

    JamiiForums Tanzania Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Wana Ccm Wameduwaa Hata Wao Wanasikitika TWAWEZA Kuwadanganya Mchana Kweupe!
  10. O

    JamiiForums Tanzania Umejiandaaje kupokea ushindi wa mh. Lowassa oct 25/2015

    Kumbe Ccm Wanajitekenya Wenyewe Halafu Wanacheka! Kwani Hiyo Asilimia Ya Lowassa Hata Kwa Akili Yako Finyu Unadhani Ya Kweli, Tumia Tu Akili Ya Kuzaliwa Ambayo Kila Mtu Anayo!
  11. O

    JamiiForums Tanzania Umejiandaaje kupokea ushindi wa mh. Lowassa oct 25/2015

    Tuambiane Ndugu Mmejiandaaje Kupokea Ushindi Wa Mh. Lowassa Hapo Atakapotangazwa Kama Mshindi Wa Nafasi Ya Urais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Baada Ya Uchaguzi Wa Oct 25/2015.
  12. O

    JamiiForums Tanzania CCM chali Mkoa wa Dodoma

    Wananchi Wa Mkoa Wa Dodoma Wameshachoka Na Ccm Kila Kona Ukipita Wanasema Wanataka Mabadiliko Ya Lowassa Ili Waaondokane Na Kuomba Na Kuendelea Kuishi Kwenye Nyumba Za Tembe,hadi Karne Ya Sayansi Bado Wanaishi Ktk Nyumba Za Tembe, Wananchi Hao Walidai Kuwa Ccm Inasema Kwamba Dodoma Ni Ngome Yao...
  13. O

    JamiiForums Tanzania UKAWA rudisheni wanafunzi

    AMINI USIAMINI CCM CHALI MKOA WA DODOMA. Wananchi Wa Mkoa Wa Dodoma Kila Kona Wanasema Wamechoka Na Manyanyaso Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Walisema Jana Wakihojiwa Kuhusu Chama Cha Ccm Ikiwa Imezoeleka Kuwa Dodoma Ni Ngome Imara Ya CCM. Walisema Wamechoka Kuomba, Kuishi Nyumba Za...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Taswira ya TWAWEZA na UWEZO Kenya, Uganda na Tanzania inaenda kuingia doa na dosari kubwa

    Kwa hili kitendo cha baada ya wana mitandao kutengeneza na kutoa taarifa ya uongo kuwa kama uchaguzi ungefanyika Leo basi magufili angeshinda Kwa 66% na Lowassa 22% Mimi nasema wanajua uchaguzi utafanyika October 25/2015 kwanini waseme Kama tungefanya uchaguzi Leo kwanini wasisema siku ya...
Back
Top Bottom