VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Walimu mpo? Tazameni wanafunzi wanavyojiandaa kabla ya kwenda shuleni. Mjipange!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Hakuna haja ya kujipanga maana nao walipitia haya mafunzo.....
Hayo ndio serikali ya mwendokasi inayoyatakaHayo madogo leo. Shule moja hapa dar jina linahifadhiwa walikamatwa nje ya shule wakiwa na silaha yan mapanga visu na misokoto ya bangi. Kabla walimrushia mwalimu mawe. .walimu wanapiwapia ni kama wanajihami yaani wako vitani. Jamii isaidie badala ya kulaumu upande mmoja. Tukio hilo limeripotiwa polisi