Habari zenu wadada wa JF,
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu.
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 38, elimu yangu ni ya Chuo kikuu, Mkristo wa Roman Catholic, mwajiriwa serikalini, mrefu wa 168 cm; ninayeishi na kufanya kazi mbeya mjini; ninatafuta mwanamke ambaye yupo tayari kuanzisha...