Recent content by oim2015

  1. O

    Rais Dkt. Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Wizara ya Fedha

    Kila kitu watu MNA criticise!! Uwezo wenu mdogo!!
  2. O

    Wizi wa mafuta BP/Puma Sinza Kijiweni

    Hiyo petrol station ni wezi sana, mwaka Jana niliweka mafuta ya elfu 20 gari yenye CC 1000. SIKUFIKA POSTA. EWURA KAMA KUNA MTU ANAFANYA KAZI EWURA WASHUGHULIKIWE HAO. PIA NIMESHASHUHUDIA WADAU KIBAO WAKILETA MZOZO KTK KITUO HICHO BAADA YA KUIBIWA.
  3. O

    Mama Magufuli alivyomsaidia Magufuli kwenye Kura za Maoni

    Povu linawatoka midomoni!!
  4. O

    Confirmed: Huu ndio ukweli sababu ya Ray kigosi na Aunt Ezekiel kutoka UKAWA

    Hata nyie mgechukua sema tu hamna umaarufu ndo maana mnaponda!!
  5. O

    TBC1 warudia tena press ya Dr. Slaa

    Ujinga wakati wenzio wanafanya biashara. Nani mjinga hapo?
  6. O

    Prof. Mukandala 'aifilisi' UDSM

    Umeshindwa toa fact unatafuta visingizio. Juzi Mgombea kupitia UKAWA kawaambia no research no what? Jipangeni kwanza ndipo mtoe mada.
  7. O

    Prof. Mukandala 'aifilisi' UDSM

    Vitu kama vip sasa!? Toa facts
  8. O

    Prof. Mukandala 'aifilisi' UDSM

    UDSM wamefanya mambo makubwa sana Kwa hivi sasa ukipita pale kuna renovation inaendelea, juzijuzi tu jengo jipya LA UDBS lilifunguliwa. Lectures wengi wamepelekwa kusoma PhDs nje ya nchi. Ukizingatia pia chuo kinajitegemea kwa kiasi kikubwa. Fanya utafiti usitoe mada za kuambiwa.
  9. O

    Nikki wa II, siasa hazikufai, chunga mdomo wako

    Mnaongea upuuzi kuhusu Nikki wa II, na nyie imbeni basi. Agghaaa
  10. O

    Zinduka: Siasa inanunua watu, Polepole naye kanunuliwa

    Ulikuwepo wakati wanaweka hizo pesa ?
Back
Top Bottom