Recent content by Oilchafu

  1. O

    JamiiForums Tanzania Ukishangaa ya Polepole usisahau kushangaa ya mwendazake na Mama

    Mtu amejitafakari akaona ageuke asiendelee na uovu ww unaanza kumjudge na yaliyopita?? Ww ndo zuzu la mwisho na unahitaji ukomboz wa fikra
  2. O

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kipi kinachofelisha kusiwepo na mchezo wowote unaowakutanisha wachezaji wa jinsia zote kwenye timu moja.

    Yaan mwamba alisahau kwamba ilikuwa ni mchezo wa hisani, akamzoa mlimbwende mazima
  3. O

    JamiiForums Tanzania Rasmi Tundu Lissu anahutubia Taifa akiwa Gerezani, CCM mmekwisha

    Ukiona hoja imezid uwezo wa ubongo wako wa kuchanganua mambo ni vyema ukaiacha ikupite kushoto kuliko kuonyesha kiwango cha juu cha ujinga ulichonacho kichwani.. Cjui umenipata mkuu??
  4. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Lissu: Nikitoka (gerezani) ni mchakamchaka, nikitoka ni barabarani

    Kufumba na kufumbua mnashangaa Mwamba ashatinga pale magogoni... Waroho wa keki ya taifa watapelekewa moto wa jenahanamu ukasome
  5. O

    JamiiForums Tanzania Rasmi Tundu Lissu anahutubia Taifa akiwa Gerezani, CCM mmekwisha

    Huyu jamaa ataingia pale magogoni one day yes... Mafisad yatapelekewa moto zaid ya ule wa jehanam
  6. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu imetufumbua macho, taifa letu linahitaji katiba mpya ambayo itaondoa madaraka makubwa aliyonayo rais wa JMT

    Yaan kiufup ni kwamba mleta mjadala ameleta hoja nzito ambayo akili yako inaelemewa kuichakata kiufasaha, ndo maana akasema ww mpumbavu.. sijui umenielewa hapo mkuu??
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu imetufumbua macho, taifa letu linahitaji katiba mpya ambayo itaondoa madaraka makubwa aliyonayo rais wa JMT

    Anamaanisha akili yako ni pumba haiwez kuchang'anua huu mjadala mzito maana ww umekaa kishabik zaidi
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna huyu jamaa anaitwa winbet, anatabir had correct score za yanga
  9. O

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Muliro: Walichosema Mwangi na Atuhaire ni maoni yao

    ICC, The Hague... Ruto na Kenyatta wanaijua shughuli yake maana wamewah kushtakiwa huko.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Selemani ahukumiwa kifungo cha maisha jela kisa kumlawiti mtoto wake wa kumzaa

    Kuna kesi kama hii ilitokeaga huko kenya, baba alifungwa maisha kwa kosa la kumlawiti mwanae kumbe binti alilishwa maneno ya uongo na mama ake akatoe ushahid wa uongo mahakaman kuwa amelawitiwa. Baba akafungwa. Binti amekuwa mkubwa akili zimekuwa akaenda mahakaman kubatilisha ushahidi wake,baba...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Mwenye diploma au certificate ya phamarcy aliesajiliwa na board of pharmacy anicheck pm, sehem ya kazi ni Mtwara
  12. O

    JamiiForums Tanzania Binafsi nimeguswa na funga ya wakristo kipindi hiki cha kwaresma,Funga yenu haina kelele Wala majisifu

    Impact gani hyo unayoizungumzia mzee baba
  13. O

    JamiiForums Tanzania ZBC ni ya serikali au ya Dini ya kiislamu

    Ndo mnavofundishwa na dini yenu ya haki kuwaita binadamu wenzenu Kafiri, ama kwel mna safar ndefu sana
Back
Top Bottom