Recent content by Ohm24

  1. Ohm24

    JamiiForums Tanzania Wababe watano wa soka Afrika ! Hawa hawataanzia hatua za awali michuano ya CAF Champions League

    Ubongo wa kuku ulioanzisha uzi😂😂
  2. Ohm24

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waliomzuia polisi kumkamata mwenzao huku wakiimba 'wantam' washikiliwa na jeshi hilo

    Nmewakumbuka wale abiria wa serengeti walioshiriki kumpiga traffic😂😂😂
  3. Ohm24

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yamburuza Msajili wa Vyama vya Siasa Mahakamani

    Kwani tone tone haitoshi kuendesha chama? Hyo ruzuku wamuachie tu CHEDEMA IPO mioyoni mwa wananchi😂
  4. Ohm24

    JamiiForums Tanzania Ubakaji wa Mwanaharakati Agatha ni Uhalifu wa Kimataifa – ICC itaingilia!

    Besigye yupo hko uganda anasota kwa nn asimpiganie
  5. Ohm24

    JamiiForums Tanzania Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania

    Haku Hakuna nchi inaongozwa na mitandao kwa ground mambo n tofaut ndio maana mnaishia kuandamana X tu
  6. Ohm24

    JamiiForums Tanzania Serikali Yatenga Fedha kuanza ujenzi wa Reli Mpya ya SGR Kutoka Bandari ya Tanga Hadi Isaka. Itakuwa na Tawi la Arusha-Musoma

    Haya ndio maendeleo tunayoyataka sisi wananchi
  7. Ohm24

    JamiiForums Tanzania Samia Hakuna sheria inayokataza mtu kuongelea siasa za Tanzania

    hujakatazwa kwenda hko unakoona kuna utawala na kisheria na haki zisizo na mipaka
  8. Ohm24

    JamiiForums Tanzania 5G vs Starlink

    Bila shaka sio swala la speed tu bali hata bei na upatikanaji wa mtandao.Ni vema kua na watoa huduma wengi kuchangamsha soko kwan n faida kwa mtumiaji wa mwisho kwa upande mwngine kuna tume ya ushindani itakayo regulate huo ushindan baina yao
  9. Ohm24

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Stigler's George ndiyo mradi bora wa wakati wote Tanzania?

    Kuna vitu tumekaririshwa kua n lazima tupinge kila jambo hapa hata ukimtajia SGR atapinga tena sasa unajiuliza huyu ni mtu au panzi🤔
  10. Ohm24

    JamiiForums Tanzania Jamaa wa Matangazo walivyonizingua na mwanamke wangu barabarani

    Mtu apewe maua yake kabla hajafa
  11. Ohm24

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bwawa la Stigler's George ndiyo mradi bora wa wakati wote Tanzania?

    Nmejiridhisha pasipo na shaka lolote kua akili yako si timamu
  12. Ohm24

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi 7 wa Wizara ya Ardhi

    Kama mbembela ameachwa hayo majina ni batili
Back
Top Bottom